Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah, hii umeongea upo sahihi kabisa Mkuu.Hiyo title ya kibiashara ukikutana nacho lazima upekue kama kinasadiki yaliyomo kwenye title au
Mkuu hii paper iliipata site Gani Mzee, maana ni noma sanapia research papers na working papers zina taarifa sana ukiachana na vitabu
sema zenyewe ni za kitafiti zaidi
mfano hii working paper inaeleza kidogo jinsi matajiri tz wanavyopindisha sheria za kodi. ilinivutia.
kwenye journey zangu za kusearch googleMkuu hii paper iliipata site Gani Mzee, maana ni noma sana
Ngoja niikalie kitako nitakupa mrejesho soonerkwenye journey zangu za kusearch google
ukisearch vitu sana utakuta tu papers
Upo sawa mkuu kila mtu na hobby yake mwingine anaweza kuangalia mpira masaa matano mwingine anaangalia movie siku nzima mwingine anashinda Instagram Facebook tiktok Twitter na thread sasa kati ya hao na anayesoma vitabu nani anapoteza mda na kuchosha ubongo mkuu?"JACK OF ALL TRADES,MASTER OF NONE"
Mwaka huu nimesoma vitu vingi vinavyohusu field ninayoifanyia kazi.
Nadhani hili[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] ni bora zaidi kuliko kusomasoma tuu kuuchosha ubongo.
Kuliko kuwa umesoma mavitu mengi na huvifanyii kazi ni bora ukabobea kwenye vitu unavyoshughulika navyo kila siku.
Hii itakusaidia kuwa mbobezi stop this nonsense ya kupoteza ENERGY na FOCUS ili tu uonekane umesoma vitabu vingi and end result havina mchango wowote kwako.
#Acheni mkumbo, maisha yapo simple sana!!!
Anayesoma vitabu ambavyo havitaongeza chochote kwenye day to day hustle naye anapoteza muda.Upo sawa mkuu kila mtu na hobby yake mwingine anaweza kuangalia mpira masaa matano mwingine anaangalia movie siku nzima mwingine anashinda Instagram Facebook tiktok Twitter na thread sasa kati ya hao na anayesoma vitabu nani anapoteza mda na kuchosha ubongo mkuu?
watu wako bize na mwinjaku na baba levo ila hongera mkuu kwa kuwekeza kwenye kitu kimoja ila ingekuwa umesoma baadhi ya hvyo vitabu usingesema hivyo umeangalia movie mwaka huu?
Pole mkuu,Anayesoma vitabu ambavyo havitaongeza chochote kwenye day to day hustle naye anapoteza muda.
Mimi nawachukulia wote ni wapoteza muda.
Ukiwa mjasiriamali ukisoma vitabu vya ujasiriamali hapo huna ulichopoteza ila ukianza kusoma vitabu vya kihistoria na blablaaa nyingine hapo umelost.
Ukiwa Doctor alafu inasoma vitabu vya politics au interprenew hapo unapoteza muda amua moja ili uutumie muda vizuri,n.k.
Tukumbuke muda ni mali sana!!!
Nikipata mda nitaelezea faida za kusoma vitabu kitaalamu zilizoelezewa na baadhi ya watu kama kina ben carson daktari bingwa wa (neurosurgery) ameelezea faida kusoma nikipata mda nitaleta hapa mkuu.Anayesoma vitabu ambavyo havitaongeza chochote kwenye day to day hustle naye anapoteza muda.
Mimi nawachukulia wote ni wapoteza muda.
Ukiwa mjasiriamali ukisoma vitabu vya ujasiriamali hapo huna ulichopoteza ila ukianza kusoma vitabu vya kihistoria na blablaaa nyingine hapo umelost.
Ukiwa Doctor alafu inasoma vitabu vya politics au interprenew hapo unapoteza muda amua moja ili uutumie muda vizuri,n.k.
Tukumbuke muda ni mali sana!!!
A huu umeme wa tanesco aunkutumia solar?Pole mkuu,
Haijalishi upo kada gani lazima usome
Finance books,
Self help books,
Emotions books,
Kuna kitabu kinaitwa EGO IS THE ENEMY kinasema you will be hired 20% by IQ but you will be fired by 80% your EQ fuatilia yule kamanda wa dodoma alitumbuliwa kwasababu gani kwenye lile tukio la binti wa yombo
Na viongozi wengi kwa nini wanafeli kwenye uongozi wao ni kwasababu wanakosa EQ(emotional intelligence)
Vitabu vinakusaidia uzungumze nini kwa wakati gani viongozi wote duniani wanasoma vitabu tena vya mchanganyiko mbali mbali lazima ujifunze baadhi ya vitu kupitia vitabu la sivyo kwa hali ya sasa itakuwa unaenda anticlokwise.
Kitabu cha THINK BIG cha ben carson anaelezea jinsi alivyotoka kuwa kilaza wa darasa mpaka kuwa daktari bingwa kupitia vitabu baada ya mama yake kumwambia ampe SUMMARY ya vitabu vinne kila mwezi baada ya hapo maisha ya ben carson darasani yalibadilika mpaka mwalimu akashangaa tafuta kitabu cha Ben Carson THINK BIG NA GIFTED HANDS wape wototo wako wasome na wewe usome halafu urudi tena hapa jamvini kuleta mrejesho.
Alamsik.
One of the best book everMimi nimesoma kitabu kimoja tu Tujisahihishe cha mwalimu Nyerere. Ccm nawashauri kuelekea uchaguzi mkuu kasomeni kile kitabu
Nikipata mda nitaelezea faida za kusoma vitabu kitaalamu zilizoelezewa na baadhi ya watu kama kina ben carson daktari bingwa wa (neurosurgery) ameelezea faida kusoma nikipata mda nitaleta hapa mkuu.
naona umepinga usomaji vitabu kimkakati sana. Zingatia neno hobby.Mafanikio ya Ben Carson ni yake build yours!!!!
Hapa duniani kuna wewe MMOJA, mimi MMOJA.Stop living other peoples life.
American life ni mbingu na ardhi na huku MAVUMBINI/SHITIHOLINI.
Usomaji wa vitabu ni kama kusikiliza sera za wanasiasa, these idiots/ Writers watafanya kila namna wakushawishi kuwa wao ndo the BRAINERS. Mwishoni ukija kugundua ukweli unajua hawa viumbe vyote wanavyoamini ndo wanavyoviandika.
Sasa kwenye somo la LOGIC ambalo wengi hawajalisoma, utapata kuona kwamba hutakiwi kuendeshwa na MITAZAMO YA MTU REGADLESS YA CHEO AU MAFANIKIO YAKE hii ndo msingi wa kujua kweli.
Ukifatilia hata hii minyukano ya siasa ni watu kukosa LOGIC tu hivyo wanabaki kuendeshwa na mihemko na mapenzi kwa wawapendao.
So back to the topic MIMI BADO NTAENDELEA KUSISITIZA utunzaji wa muda katika kuyaendea mambo.
Leo kuna watu wana degree saba wengine 1st degree kasoma MEDICINE, 2nd anasoma BUSINESS ADMINISTRATION anaongezea na LAW ila kwenye practise hana hata moja analofanyia kazi😁😁😁😁
Hawa opportunistic sio wakuwaendekeza hawa ndo "JACK OF EVERY TRADE, MASTER OF NONE"
I see umejitahidi.Habari za mchana wakuu,
Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya yanayoanza kesho nawatakia safari njema mungu awalinde.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao, nipo addicted na kusoma vitabu, yaani nina hangover nisiposoma kitabu kwa siku napenda kusoma vitabu kusoma vitabu ni miongoni mwa hobby yangu namba moja kwenye maisha yangu.
Leo ningependa ku share na nyinyi baadhi ya vitabu nilivyosoma kama ifuatavyo:
1.The diary of a CEO BY (STEVEN BARTLETT)
2.Think like billionaire become billionaire BY SCOT ANDERSON
3.The big picture BY BEN CARSON
4.Take the risk BY BEN CARSON
5.The road ahead BY BILL GATES
6.The joy of sex BY DR.ALEX COMFORT
7.Ego is the enemy BY RYAN HOLIDAYS
8.what is everybody is say BY JOE NAVARRO
9.Emotional intelligence BY DANIEL COLEMAN
10.Understanding your potential BY MYLES MUNROE
11.Non violent communication BY MARSHALL ROSENBERG
12.Body language BY ALLAN PEASE
13.Crucial conversation BY KERRY PETERSON, JOSEPH GREEN, RON MC MILLAN AND SWITZLER
14.The leader who had no title BY ROBIN SHARMA
15.Start with why BY SIMON SINEK
16.The happiness trap BY RUSS HARRIS
17.The courage to be disliked BY ICHIRO KISHIMI AND FUMITAKE KOGA
18.44 Ideas for better conversation everyday BY MIKAEL KROGERUS AND ROMAN TSCHAPPLER
19.The 21–irrefutable laws of leadership BY JOHN C. MAXWELL
20.Who moved my cheese BY DR.SPENCER JOHNSON
21.The mountain is you BY BRIANNA WIEST
22.The psychology of money BY MORGAN HOUSEL
23.Retire young retire rich BY ROBERT KIYOSAKI
24.Cash flow quadrant BY ROBERT KIYOSAKI
25.Rich dad guide to investing BY ROBERT KIYOSAKI
26.As a man thinketh BY JAMES ALLEN
27.The almanack of naval BY ERIC JORGENSEN
28.Love yourself pay yourself first BY DR ABIB OLOMITIYE
29.Long walk to freedom BY NELSON MANDELA
30.Dont believe everything you think BY JOSEPH NGUYEN
31.Gifted hands BY BEN CARSON
32.The power of your subconscious mind BY JOSEPH MURPHY
33.Every day hero manifesto BY ROBIN SHARMA
34.Who will cry when you die BY ROBIN SHARMA
35.How to talk to anyone BY LEIL LOWNDES
36.How to read a person like a book BY GERRARD I.NIERENBERG AND HENRY H .CALERO
37.13–Things mentally strong people do not do BY AMY MORIN
38.The first minutes BY CHRIS FENNING
39.The art of laziness BY LIBRARY MINDSET
4O.Getting things done BY DAVID ALLEN
41.Ikigai BY HECTOR GARCIA AND FRANCESC MIRRALLES
42.Man's search for meaning BY VICTOR E.FRANKI
Je wewe ni mdau wa vitabu share hapa vitabu ulivyosoma 2024 ili tubadilishane maarifa itapendeza sana.
Alamsik.