Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

Siwezi kusema kila kitu nilichofanikiwa kupitia vitabu ila nina project kubwa ipo kwenye process ya kukamilisha tena kwenye production mimi nitasema kwasababu ya vitabu wakati wafanyakazi wengi wanakopa hela kununua gari au kujenga mimi nataka nikachukue mkopo kwa ajili ya hyo project and I believe it will work 100% kwasababu hata nafanya ila kwa small scale nataka niifanye kwenye large scale they take loans to buy cars and building their dream house I will do it but in different perception I want to change other people life inshaallah.
 
Hili zuri ila utajua sana ulichosomea na utakuwa mjinga sana juu ya mengine.
 
hichi hapa kitasaidia vijana wanaoteseka na PULI.
Mr, Umenikumbusha Miaka ya nyumaa nilivyofanya research/Tafiti ya Adult Industry/Porn industry.

Huku nikipata msaada kutoka Kwa Mwanamama Shira Tarrant.

The porn Industry:
(what everyone needs to know)

By shirra Tarrant.

Na Matt Fradd.

The porn Myth:
(Exposing the Reality behind the fantasy of pornography).

By Matt Fradd.


Adult Industry/porny industry zinginee changamoto za hapa na pale, prons & cons, Makumpuni Monopoly kwa gemu.

Professional Actor/Actress na Malipo yao, health issues, Taboos & Etc.

Porn industry imeweka impact kubwaa katika jamii nyingi Duniani katika sex Actions/Ngono, Adult Industry ya USA ikiwa very powerful sana.

Sasa average Joe around the world anataka kuiga mambo kama yakina Devlin weed, Lil d, Jose s, Tt boy, Wesley pipes, Charles Dera, Jules Jordan, etc na Moriah Mills, Sarah banks, Liss Ann, Anise Kate, Pamela Rios, Etc ambao ni professional Actors/Actress... Basii ni burudanii sana na changamoto. (leaked private sex video za average Joe).


Adult Industry, ni industry powerful na inaweka impact kubwaa sana katika sex life ya Watu Wengi Duniani.
 
Mbona vyote vya wageni, kwani Waafrika wenzako hawaandiki vitabu?
 
Pamoja na kurudia baadhii ya vitabu vichache Mwaka huu,

Kabla ya Uchaguzi wa Amerika, ikabidi nipitiee Vitabu vingi kumhusu bwana Donald T Trump.

The Presidential Image Theodore Roosevelt to Donald Trump's)
Edited by Iwan Morgan -Mark white.

The Making of Donald Trump's.
By David cay Johnston.

Changing Their Minds..??
By George c Edwards.

No is not enough Resisting Trump shock politics & winning The world we need).
By Naomi Klein.

Fear: Trump in the white house).
By Bob wood ward.

Too much & Never Enough:How my family created the world most dangerous Man).
By Mary l. Trump.

Fire & Fury : Inside The Trump white house).
By Michael Wolf.

The Plot to Destroy America democracy.
By Malcolm Nance.
 
Share humu hizo softcopy
Zipo nyingi mkuu ni rahisi kutuma chache ulizo penda kati ya hizo au nje ya hizo kama ninazo nita share mkuu ila nyingine zipo juu hapo nime share.
 
Weka softcopy mkuu tufungulie mwaka.
 
Mkuu pwilo wasaidie vijana wa hapo mkurunga kwenye issues za ujasiriamali, na uwape soft copy.
Itawasaidia sana kutojiingiza kwenye makundi ya kihalifu kama IS,etc
Kule kuna sehemu wanaita kisiju wachawi sana wataniroga mkuu kule anapaweza mchegerwa wale jamaa walimpoteza engineer wa kichina na gari yake wakati wanajenga barabara.
 
Mkuu weka softcopy ya namba tatu hyo.
 
Kule kuna sehemu wanaita kisiju wachawi sana wataniroga mkuu kule anapaweza mchegerwa wale jamaa walimpoteza engineer wa kichina na gari yake wakati wanajenga barabara.
Kwa hiyo wachawi wa huko wanamuogopa kumrlga mcheregwa wanakuloga ww, mwambie mcheregwa akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…