Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kesho ntakisoma hichohichi hapa kitasaidia vijana wanaoteseka na PULI.
NB; Sisomi Kwa sababu ni mraibu apana ni katika kujua yaliyomo humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho ntakisoma hichohichi hapa kitasaidia vijana wanaoteseka na PULI.
Siwezi kusema kila kitu nilichofanikiwa kupitia vitabu ila nina project kubwa ipo kwenye process ya kukamilisha tena kwenye production mimi nitasema kwasababu ya vitabu wakati wafanyakazi wengi wanakopa hela kununua gari au kujenga mimi nataka nikachukue mkopo kwa ajili ya hyo project and I believe it will work 100% kwasababu hata nafanya ila kwa small scale nataka niifanye kwenye large scale they take loans to buy cars and building their dream house I will do it but in different perception I want to change other people life inshaallah.Mafanikio ya Ben Carson ni yake build yours!!!!
Hapa duniani kuna wewe MMOJA, mimi MMOJA.Stop living other peoples life.
American life ni mbingu na ardhi na huku MAVUMBINI/SHITIHOLINI.
Usomaji wa vitabu ni kama kusikiliza sera za wanasiasa, these idiots/ Writers watafanya kila namna wakushawishi kuwa wao ndo the BRAINERS. Mwishoni ukija kugundua ukweli unajua hawa viumbe vyote wanavyoamini ndo wanavyoviandika.
Sasa kwenye somo la LOGIC ambalo wengi hawajalisoma, utapata kuona kwamba hutakiwi kuendeshwa na MITAZAMO YA MTU REGADLESS YA CHEO AU MAFANIKIO YAKE hii ndo msingi wa kujua kweli.
Ukifatilia hata hii minyukano ya siasa ni watu kukosa LOGIC tu hivyo wanabaki kuendeshwa na mihemko na mapenzi kwa wawapendao.
So back to the topic MIMI BADO NTAENDELEA KUSISITIZA utunzaji wa muda katika kuyaendea mambo.
Leo kuna watu wana degree saba wengine 1st degree kasoma MEDICINE, 2nd anasoma BUSINESS ADMINISTRATION anaongezea na LAW ila kwenye practise hana hata moja analofanyia kazi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa opportunistic sio wakuwaendekeza hawa ndo "JACK OF EVERY TRADE, MASTER OF NONE"
Hii hapa mali mkuu. View attachment The-courage-to-be-disliked - Copy.pdfNakiomba "the courage to be disliked"
Hili zuri ila utajua sana ulichosomea na utakuwa mjinga sana juu ya mengine."JACK OF ALL TRADES,MASTER OF NONE"
Mwaka huu nimesoma vitu vingi vinavyohusu field ninayoifanyia kazi.
Nadhani hili👆👆👆👆👆 ni bora zaidi kuliko kusomasoma tuu kuuchosha ubongo.
Kuliko kuwa umesoma mavitu mengi na huvifanyii kazi ni bora ukabobea kwenye vitu unavyoshughulika navyo kila siku.
Hii itakusaidia kuwa mbobezi stop this nonsense ya kupoteza ENERGY na FOCUS ili tu uonekane umesoma vitabu vingi and end result havina mchango wowote kwako.
#Acheni mkumbo, maisha yapo simple sana!!!
Naomba uweke namba 36 tujipakulie minyama hiyo.Asante mkuu utakacho kipenda nita share na ww kati ya hvyo
Mr, Umenikumbusha Miaka ya nyumaa nilivyofanya research/Tafiti ya Adult Industry/Porn industry.hichi hapa kitasaidia vijana wanaoteseka na PULI.
Mbona vyote vya wageni, kwani Waafrika wenzako hawaandiki vitabu?Habari za mchana wakuu,
Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya yanayoanza kesho nawatakia safari njema mungu awalinde.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao, nipo addicted na kusoma vitabu, yaani nina hangover nisiposoma kitabu kwa siku napenda kusoma vitabu kusoma vitabu ni miongoni mwa hobby yangu namba moja kwenye maisha yangu.
Leo ningependa ku share na nyinyi baadhi ya vitabu nilivyosoma kama ifuatavyo:
1.The diary of a CEO BY (STEVEN BARTLETT)
2.Think like billionaire become billionaire BY SCOT ANDERSON
3.The big picture BY BEN CARSON
4.Take the risk BY BEN CARSON
5.The road ahead BY BILL GATES
6.The joy of sex BY DR.ALEX COMFORT
7.Ego is the enemy BY RYAN HOLIDAYS
8.what is everybody is say BY JOE NAVARRO
9.Emotional intelligence BY DANIEL COLEMAN
10.Understanding your potential BY MYLES MUNROE
11.Non violent communication BY MARSHALL ROSENBERG
12.Body language BY ALLAN PEASE
13.Crucial conversation BY KERRY PETERSON, JOSEPH GREEN, RON MC MILLAN AND SWITZLER
14.The leader who had no title BY ROBIN SHARMA
15.Start with why BY SIMON SINEK
16.The happiness trap BY RUSS HARRIS
17.The courage to be disliked BY ICHIRO KISHIMI AND FUMITAKE KOGA
18.44 Ideas for better conversation everyday BY MIKAEL KROGERUS AND ROMAN TSCHAPPLER
19.The 21–irrefutable laws of leadership BY JOHN C. MAXWELL
20.Who moved my cheese BY DR.SPENCER JOHNSON
21.The mountain is you BY BRIANNA WIEST
22.The psychology of money BY MORGAN HOUSEL
23.Retire young retire rich BY ROBERT KIYOSAKI
24.Cash flow quadrant BY ROBERT KIYOSAKI
25.Rich dad guide to investing BY ROBERT KIYOSAKI
26.As a man thinketh BY JAMES ALLEN
27.The almanack of naval BY ERIC JORGENSEN
28.Love yourself pay yourself first BY DR ABIB OLOMITIYE
29.Long walk to freedom BY NELSON MANDELA
30.Dont believe everything you think BY JOSEPH NGUYEN
31.Gifted hands BY BEN CARSON
32.The power of your subconscious mind BY JOSEPH MURPHY
33.Every day hero manifesto BY ROBIN SHARMA
34.Who will cry when you die BY ROBIN SHARMA
35.How to talk to anyone BY LEIL LOWNDES
36.How to read a person like a book BY GERRARD I.NIERENBERG AND HENRY H .CALERO
37.13–Things mentally strong people do not do BY AMY MORIN
38.The first minutes BY CHRIS FENNING
39.The art of laziness BY LIBRARY MINDSET
4O.Getting things done BY DAVID ALLEN
41.Ikigai BY HECTOR GARCIA AND FRANCESC MIRRALLES
42.Man's search for meaning BY VICTOR E.FRANKI
Je wewe ni mdau wa vitabu share hapa vitabu ulivyosoma 2024 ili tubadilishane maarifa itapendeza sana.
Alamsik.
Share humu hizo softcopyHapana mkuu nasoma kwenye simu au laptop soft copy
Weka softcopy mkuu tufungulie mwaka.Pamoja na kurudia baadhii ya vitabu vichache Mwaka huu,
Kabla ya Uchaguzi wa Amerika, ikabidi nipitiee Vitabu vingi kumhusu bwana Donald T Trump.
The Presidential Image Theodore Roosevelt to Donald Trump's)
Edited by Iwan Morgan -Mark white.
The Making of Donald Trump's.
By David cay Johnston.
Changing Their Minds..??
By George c Edwards.
No is not enough Resisting Trump shock politics & winning The world we need).
By Naomi Klein.
Fear: Trump in the white house).
By Bob wood ward.
Too much & Never Enough:How my family created the world most dangerous Man).
By Mary l. Trump.
Fire & Fury : Inside The Trump white house).
By Michael Wolf.
The Plot to Destroy America democracy.
By Malcolm Nance.
Hii hapa mali mkuu. View attachment HowToReadAPersonLikeABook .pdfNaomba uweke namba 36 tujipakulie minyama hiyo.
Kule kuna sehemu wanaita kisiju wachawi sana wataniroga mkuu kule anapaweza mchegerwa wale jamaa walimpoteza engineer wa kichina na gari yake wakati wanajenga barabara.Mkuu pwilo wasaidie vijana wa hapo mkurunga kwenye issues za ujasiriamali, na uwape soft copy.
Itawasaidia sana kutojiingiza kwenye makundi ya kihalifu kama IS,etc
Mkuu weka softcopy ya namba tatu hyo.I see umejitahidi.
Mimi;
1) Cashflow Quadrant by Robert Kiyosaki (hiki nakirudia karibu mwaka wa tatu sasa)
2) Start with Why by Simon Sinek
3) Own Your Own Corporation by Robert Kiyosaki (sijakimaliza)
Articles kadhaa zinazogusa Cassava farming and processing, agroforestry, poultry and agricultural marketing.
Mpaka niiangalie kwenye laptop yangu, kwa sasa nipo mbali nayoMkuu weka softcopy ya namba tatu hyo.
Ahsante mkuu.Hii hapa mali mkuu. View attachment 3184596
Kwa hiyo wachawi wa huko wanamuogopa kumrlga mcheregwa wanakuloga ww, mwambie mcheregwa akusaidieKule kuna sehemu wanaita kisiju wachawi sana wataniroga mkuu kule anapaweza mchegerwa wale jamaa walimpoteza engineer wa kichina na gari yake wakati wanajenga barabara.