Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Habari za mchana wakuu,

Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya yanayoanza kesho nawatakia safari njema mungu awalinde.

Mimi ni miongoni mwa watu ambao, nipo addicted na kusoma vitabu, yaani nina hangover nisiposoma kitabu kwa siku napenda kusoma vitabu kusoma vitabu ni miongoni mwa hobby yangu namba moja kwenye maisha yangu.

Leo ningependa ku share na nyinyi baadhi ya vitabu nilivyosoma kama ifuatavyo:

1.The diary of a CEO BY (STEVEN BARTLETT)

2.Think like billionaire become billionaire BY SCOT ANDERSON

3.The big picture BY BEN CARSON

4.Take the risk BY BEN CARSON

5.The road ahead BY BILL GATES

6.The joy of sex BY DR.ALEX COMFORT

7.Ego is the enemy BY RYAN HOLIDAYS

8.what is everybody is say BY JOE NAVARRO

9.Emotional intelligence BY DANIEL COLEMAN

10.Understanding your potential BY MYLES MUNROE

11.Non violent communication BY MARSHALL ROSENBERG

12.Body language BY ALLAN PEASE

13.Crucial conversation BY KERRY PETERSON, JOSEPH GREEN, RON MC MILLAN AND SWITZLER

14.The leader who had no title BY ROBIN SHARMA

15.Start with why BY SIMON SINEK

16.The happiness trap BY RUSS HARRIS

17.The courage to be disliked BY ICHIRO KISHIMI AND FUMITAKE KOGA

18.44 Ideas for better conversation everyday BY MIKAEL KROGERUS AND ROMAN TSCHAPPLER

19.The 21–irrefutable laws of leadership BY JOHN C. MAXWELL

20.Who moved my cheese BY DR.SPENCER JOHNSON

21.The mountain is you BY BRIANNA WIEST

22.The psychology of money BY MORGAN HOUSEL

23.Retire young retire rich BY ROBERT KIYOSAKI

24.Cash flow quadrant BY ROBERT KIYOSAKI

25.Rich dad guide to investing BY ROBERT KIYOSAKI

26.As a man thinketh BY JAMES ALLEN

27.The almanack of naval BY ERIC JORGENSEN

28.Love yourself pay yourself first BY DR ABIB OLOMITIYE

29.Long walk to freedom BY NELSON MANDELA

30.Dont believe everything you think BY JOSEPH NGUYEN

31.Gifted hands BY BEN CARSON

32.The power of your subconscious mind BY JOSEPH MURPHY

33.Every day hero manifesto BY ROBIN SHARMA

34.Who will cry when you die BY ROBIN SHARMA

35.How to talk to anyone BY LEIL LOWNDES

36.How to read a person like a book BY GERRARD I.NIERENBERG AND HENRY H .CALERO

37.13–Things mentally strong people do not do BY AMY MORIN

38.The first minutes BY CHRIS FENNING

39.The art of laziness BY LIBRARY MINDSET

4O.Getting things done BY DAVID ALLEN

41.Ikigai BY HECTOR GARCIA AND FRANCESC MIRRALLES

42.Man's search for meaning BY VICTOR E.FRANKI

Je wewe ni mdau wa vitabu share hapa vitabu ulivyosoma 2024 ili tubadilishane maarifa itapendeza sana.

Alamsik.
 
Hongera sana Mkuu, umeulisha ubongo chakula bpra
 
Mkuu umetisha aisee, yaani vitabu 42 ndani ya mwaka mmoja, ina maana unatumia siku 8 kumaliza kitabu kimoja..???[emoji15]

Mimi ni mpenzi wa kusoma vitabu lakini hyo speed yako nimeikubali!
I don't watch TV situmii tiktok situmii Instagram kiufupi natumia WhatsApp tu tena kwasababu maalum la sivyo pia ningepiga chini kiufupi sipendi mitandao ya kijamii kwa hyo mda mwingi ambao watu wanatumia kuperuzi mitandaoni mimi nasoma kitabu nikiwa njiani au sehemu yenye utulivu I like book.
 
Habari za mchana wakuu,

Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya yanayoanza kesho nawatakia safari njema mungu awalinde.

Mimi ni miongoni mwa watu ambao, nipo addicted na kusoma vitabu, yaani nina hangover nisiposoma kitabu kwa siku napenda kusoma vitabu kusoma vitabu ni miongoni mwa hobby yangu namba moja kwenye maisha yangu.

Leo ningependa ku share na nyinyi baadhi ya vitabu nilivyosoma kama ifuatavyo:

1.The diary of a CEO BY (STEVEN BARTLETT)

2.Think like billionaire become billionaire BY SCOT ANDERSON

3.The big picture BY BEN CARSON

4.Take the risk BY BEN CARSON

5.The road ahead BY BILL GATES

6.The joy of sex BY DR.ALEX COMFORT

7.Ego is the enemy BY RYAN HOLIDAYS

8.what is everybody is say BY JOE NAVARRO

9.Emotional intelligence BY DANIEL COLEMAN

10.Understanding your potential BY MYLES MUNROE

11.Non violent communication BY MARSHALL ROSENBERG

12.Body language BY ALLAN PEASE

13.Crucial conversation BY KERRY PETERSON, JOSEPH GREEN, RON MC MILLAN AND SWITZLER

14.The leader who had no title BY ROBIN SHARMA

15.Start with why BY SIMON SINEK

16.The happiness trap BY RUSS HARRIS

17.The courage to be disliked BY ICHIRO KISHIMI AND FUMITAKE KOGA

18.44 Ideas for better conversation everyday BY MIKAEL KROGERUS AND ROMAN TSCHAPPLER

19.The 21–irrefutable laws of leadership BY JOHN C. MAXWELL

20.Who moved my cheese BY DR.SPENCER JOHNSON

21.The mountain is you BY BRIANNA WIEST

22.The psychology of money BY MORGAN HOUSEL

23.Retire young retire rich BY ROBERT KIYOSAKI

24.Cash flow quadrant BY ROBERT KIYOSAKI

25.Rich dad guide to investing BY ROBERT KIYOSAKI

26.As a man thinketh BY JAMES ALLEN

27.The almanack of naval BY ERIC JORGENSEN

28.Love yourself pay yourself first BY DR ABIB OLOMITIYE

29.Long walk to freedom BY NELSON MANDELA

30.Dont believe everything you think BY JOSEPH NGUYEN

31.Gifted hands BY BEN CARSON

32.The power of your subconscious mind BY JOSEPH MURPHY

33.Every day hero manifesto BY ROBIN SHARMA

34.Who will cry when you die BY ROBIN SHARMA

35.How to talk to anyone BY LEIL LOWNDES

36.How to read a person like a book BY GERRARD I.NIERENBERG AND HENRY H .CALERO

37.13–Things mentally strong people do not do BY AMY MORIN

38.The first minutes BY CHRIS FENNING

39.The art of laziness BY LIBRARY MINDSET

4O.Getting things done BY DAVID ALLEN

41.Ikigai BY HECTOR GARCIA AND FRANCESC MIRRALLES

42.Man's search for meaning BY VICTOR E.FRANKI

Je wewe ni mdau wa vitabu share hapa vitabu ulivyosoma 2024 ili tubadilishane maarifa itapendeza sana.

Alamsik.
Vingine hivyo vya nikki wa pili.
Screenshot_20241224-132411_Instagram.jpg
 
Mkuu tafuta kitabu kilicho andikwa "WOMAN MOST WANTED" apper allena utajifunza jinsi mapenzi yalivoiteka Dunia..japo sijajua vitabu unavopenda kusoma huwa vinalenga mada gani zaidi.
Mkuu mimi nasoma kitabu cha aina yoyote tena hasa kikiwa recommended na mtu ambaye ameshakisoma tayari. Nitakiweka kwenye list yangu mkuu hapa nina kitabu cha kufungia mwaka ndio nimekianza kinaitwa PSYCHO CYBERNET cha daktari bingwa wa mambo ya surgery ambaye ameshafariki it's real interesting book to read.
 
Back
Top Bottom