Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Je naweza kukuwekea vya vitabu vilivyo andikwa kwa lugha ya "Malkia"?Wataalam wa vitabu karibuni
Je naweza kukuwekea vya vitabu vilivyo andikwa kwa lugha ya "Malkia"?
Kana ni ndio kuna viwili hapa.
Je ni vitabu gan naweza soma kwa ajili ya kushinikiza tabia fulani na zikamuingia mtoto passipo kumpiga.
Mkuu ndio ninavo vihitaji mkuu maana hao wanasoma kwanza psychology ya mtoto
Mkuu ndio ninavo vihitaji mkuu maana hao wanasoma kwanza psychology ya mtoto
Soma hiki hapa pia, ili wote mujirekebishe.Tuende mbele turudi nyuma mtoto si kumlisha na kumsomesha tu. Malezi ya kitabia ndio kipengere na hapa hakuna mbabe !!Hata uwe mkali vipi mtoto anaweza kukushinda tu kwa kuwa na tabia zisizo faa au kutokua na tabia unazozitegemea.
Kuna vitu kadhaa kadhaa kwa kijana wangu nimechemka kabisa kumbadilisha richa ya kumpiga ,Kuongea nae na mbinu zote.Sasa nikapata wazo la kusoma vitabu najua siwezi kosa mbinu zaidi!!
Je ni vitabu gan naweza soma kwa ajili ya kushinikiza tabia fulani na zikamuingia mtoto passipo kumpiga.
Wataalam wa vitabu karibuni
Usiposoma vitabu au kua na uelewa fulani mambo kama haya kwenye uzi ndio yanaweza kujitokezaKulea ni mpaka usome vitabu?
SawaUsiposoma vitabu au kua na uelewa fulani mambo kama haya kwenye uzi ndio yanaweza kujitokeza
Jichunguze hapa kama wewe au mtoto wako mnatatizo la Dyslexia
y’all..... Kutokana na uelewa na muamko hafifu wa elimu ya malezi ya watoto from prenatal to postnatal (Psychology) kuna mambo hua yanawakumba watoto na wazazi bila kuelewa wanachukulia ni swala la kawaida mtoto kua hivo. Wengine wanaweza ihusisha hali Fulani aliyonayo mtoto na maswala ya nguvu...www.jamiiforums.com
Kwamba kumlea mtoto ni hadi usome vitabu?
Au unataka vitabu ambavyo mwanao ndiye atayesoma...
• Ni Bora wakalelewe na bibi yao sasa, kama ndo hivyo.
• Mtoto mlee kimila, usilee ki-dar-esalaam
Soma hiki hapa pia, ili wote mujirekebishe.
Kinabalansi mambo, yaani love and logic ni madini sana. Parenting With Love and Logic
Kula chuma iki
Kulea ni mpaka usome vitabu?
Naomba umtafute mwanamama Maria Montessori umsome. Aliwekeza sana maisha yake kwenye malezi ya watoto hasa psychological
usiyape mipaka mandishi binti yanguKulea ni mpaka usome vitabu?