Vitabu vipi naweza soma kwa ajili ya malezi bora kwa mtoto?

Vitabu vipi naweza soma kwa ajili ya malezi bora kwa mtoto?

Sasa hii comment yako umeiandikia wapi?
Screenshot_20240204-172704.png

Kwenye simu yangu.
 
Tuende mbele turudi nyuma mtoto si kumlisha na kumsomesha tu. Malezi ya kitabia ndio kipengere na hapa hakuna mbabe !!Hata uwe mkali vipi mtoto anaweza kukushinda tu kwa kuwa na tabia zisizo faa au kutokua na tabia unazozitegemea.

Kuna vitu kadhaa kadhaa kwa kijana wangu nimechemka kabisa kumbadilisha richa ya kumpiga ,Kuongea nae na mbinu zote.Sasa nikapata wazo la kusoma vitabu najua siwezi kosa mbinu zaidi!!

Je ni vitabu gan naweza soma kwa ajili ya kushinikiza tabia fulani na zikamuingia mtoto passipo kumpiga.

Wataalam wa vitabu karibuni
Kama ulilelewa na wazazi wako wote wawili, basi hakuna haja ya vitabu. Fuata misingi yao
 
Kama ulilelewa na wazazi wako wote wawili, basi hakuna haja ya vitabu. Fuata misingi yao
njia sahihi za kumlea mtoto ni kuhakikisha kwamba unakuwavile ambavyo ungependa na yeye awe.

Mtoto lazima aige kwa wazazi wake ambao anawaona akiamka,akilala,akila na akiwa nyumbani muda wote.

Jamii inapata ukinzani mkubwa kwa watoto kwa sababu jamii inalazimisha watoto wawe na tabia ambazo wazazi weyewe hawana,so mtoto atakuwa motivated na nani ?

Kama ni rahisi kuwa na tabia amba,o unataka mwanawe awe nazo je mbona wewe hauna ? Je hauna kwa sababu ni tabia mbaya hauzitaki ? Kama hauzitaki kwa nini umfundishe mwanao ?
Na kam ni tabia njema ila wewe hauna,je hauna kwa sababu haukuweza kuzimudu ? Kama ni ndio unafhani itakuwa rahisi kwa mtoto kuzimudu kama wewe mzazi umeshindwa ?


Lazima mtoto aige kwa mzazi na watu wanaomzunguka..

"CHILDREN HAVE NEVER BEEN VERY GOOD AT LISTENING TO THEIR ELDERS,BUT THEY HAVE NEVER FAILED TO IMITATE THEM"
 
Kuna vitabu vya watoto ( 5-13 yrs ) vinaitwa adventures of Tin tin - ni vizuri sana- vinapanua uwezo wa watoto wa kufikilia na kungamua mambo- ni series ya vitabu na vinapatikana Amazon, Kama hutaki vitabu , Nunua DVD zake.
Wape majukumu mfano waende music lessons, swimming lessons, football lesson etc .
Wakitoka huko wako hoi, na bado home work inawasubiria… hawatakuwa na muda wa kukusumbua… wakisha kula tu wanapumzika na unaanza nao mastori ya wao wakuambie siku yao ilikuwaje- shuleni, michezoni etc … wewe pia unawaambia siku yako… mambo yanaenda…
Watoto ni activities, michezo na elimu….
 
Back
Top Bottom