Vitabu vipi naweza soma kwa ajili ya malezi bora kwa mtoto?

Kuna vitu kadhaa kadhaa kwa kijana wangu nimechemka kabisa kumbadilisha richa ya kumpiga ,Kuongea nae na mbinu zote.Sasa nikapata wazo la kusoma vitabu najua siwezi kosa mbinu zaidi!!
Kama hutojali mkuu unaweza share ni tabia gani hizo umeshindwa kumrekebisha, lakini pia na umri wake

Namimi nina kijana napambana naye ukishare inaweza tusaidia wengine kwa kujiandaa nayo
 
yaani kulea mtoto awe na tabia mjema napo kitabu kinahitajika 😂😂😂 wazazi vilaza kweli kweli hadi malezi
 
Pamoja kuwa utasoma vitabu Ila ungesoma mambo ya emotional intelligence ingesaidia kwako na mkeo pamoja na watoto.

Vitabu nimesoma vingi Sana vya parenting lakini hii safari inabidi kuanza na wewe mzazi kuhakikisha unakuwa na EQ kubwa Sana .

Ikikupendeza TV na marafiki Wa mtoto wako vyote hivyo vinaweza mwaharibu au kumjenga even God fearing .
 
hivo vitabu vya emotional intelligence navitoa wap
 
Malezi bora yanahitaji mzazi mqenye akili na uelewa wa mambo na kujua kwamba tabia hii ya mwanangu nikiiacha italeta tabia gani kubwa.

Kwa ufuoi ulezi wa mtoto ni kama kwenda kazini,lazima ujitolee muda wako kuwa na mwanao.

Wazazi wengi wa sasa hawakai na watoto wao na kufanya nao vitu mbalimbali,wanachojua wao ni kuwahudumia na kuwapa oda ama kuwakataza tabia gani wasiwe nazo,jambo ambalo ni gumu.

ILi mtoto akusikilize juu ya unachomkataza basi ni lazima iwe alikusikiliza kwa meeengi ambayo ulimfundisha hapo nyuma.

Lengo sio mtoto aache tabia kwa uoga hapana bali lengo ni mtoto aache tabia kwa utashi wake na kukinai kwamba jambo hilo halina tija kwake.

Kuna stage ambayo mtoto anajifunza kwa kuona sana kuliko kusikia hapo ni ile miaka mi3 ya mwanzo kwa sababu bado hajajua kuongea vizuri,hivyo wakati huu ni wakati hatari na wa kuwa nao makini kwa mtoto juu ya nini anatazama au nini unamfanyia,au namna gani unamlea kwani ukikosea tu unamjengea tabia mbovu.

Na kuna wakati wa mtoto kujifunza kwa kusikia zaidi hapa ni kuanzia miaka mi3 na kuendeleaaa,hapa ni lazima mtoto awe anasikia na kusikiliza maneno na apate mtu ambaye atakuwa anajua kuongea lugha ambayo mtoto ni rahisi kuielewa.

Kwa kuongezea tu,UNATAKIWA UWE NA TABIA AMBAZO MWANAO UNATAKA AWE NAZO.
.UNATAKIWA KUFANYA VITENDO AMBAVYO UNATAMANI MWANAO AFANYE.
UNATAKIWA KUONGEA NAMNA AMBAVYO UNATAMANI MWANAO ANGEONGEA KWANI MTOTO HUJIFUNZA KWAKO MZAZI.
 
Hapa panamfaa Sana mtoa mada.
 
. Dunia inaenda kasi sana, yani ushindwe kulea Mtoto, mpaka utumie vitabu 😑😑, Hii ni maajabuuuuuuuuu.
Hajasema ameshindwa na wala hakuna sehemu yotote waliandika ni vitabu pekee ndio vinahitajika kulea mtoto. Tunasoma vitabu kuongeza maarifa ya namna nzuri ya kuelewa saikolojia ya watoto. Inawezekana kulea bila kusoma vitabu ila pia kuna sehemu kubwa ya malezi pengine hatuizingatii na anaweza akaipata kupitia vitabu.

Nikuulize swali. Kwa nini uko JF tena unatumia jina fake, si ungeweza kuwa sehemu nyingine sasaivi badala ya JF?
 
• Aliye kuambia sasa hivi nipo JF ni nani? 🤔, unaweza nipa ushaidi!
 
Back
Top Bottom