Kuna vitabu vya watoto ( 5-13 yrs ) vinaitwa adventures of Tin tin - ni vizuri sana- vinapanua uwezo wa watoto wa kufikilia na kungamua mambo- ni series ya vitabu na vinapatikana Amazon, Kama hutaki vitabu , Nunua DVD zake.
Wape majukumu mfano waende music lessons, swimming lessons, football lesson etc .
Wakitoka huko wako hoi, na bado home work inawasubiria… hawatakuwa na muda wa kukusumbua… wakisha kula tu wanapumzika na unaanza nao mastori ya wao wakuambie siku yao ilikuwaje- shuleni, michezoni etc … wewe pia unawaambia siku yako… mambo yanaenda…
Watoto ni activities, michezo na elimu….