Vitabu vitabu vya ujasiriamali wa Kilimo cha mboga mboga,ufugaji na matunda

Vitabu vitabu vya ujasiriamali wa Kilimo cha mboga mboga,ufugaji na matunda

Mrejesho
Wanunuzi wa vitabu mlionunua vitabu na mnaoendelea kununua thanks to you,wale mliokuja sea cliff for the farmers market pia thank you as well it wouldn't be anything without you.
Lord almighty thank you so much for the life as much

Much respect to the people who created JF(bow down-Ice cube's voice)
 
Husika na kichwa cha habari kwa anaeitaji kitabu cha ukulima wa vitunguu,mboga zote na matunda na ufugaji wa kuku anaweza kuniPm bei ni Elfu tano tu (5000/=) kwa kimoja na elfu kumi na mbili (12,000/=) Kwa vitatu utakavyochagua.
UFAFANUZI
1.KILIMO CHA MBOGA
Vitunguu,Nyanya,kabichi,karoti,mchicha,pilipili hoho na Madawa ya kudhibiti magonjwa na wadudu waharibifu
2.UFUGAJI BORA WA KUKU
Kuku wa kienyeji na kisasa
3.KILIMO BORA CHA MATUNDA
Michungwa,Miembe,Migomba,Minanasi,Mipapai,Mipesheni na Matikiti maji
4.USINDIKAJI WA MAZIWA
Mtindi,Yoghut,Siagi,Samli,Jibini na Askrim za Maziwa
5.UFUGAJI BORA WA MBUZI
6.NG'OMBE WA MAZIWA
7.NG'OMBE WA NYAMA(fattening)

Karibuni wote
Cc
Kibananhukhu
Neema prosper
KeyserSoze
Chuvachok
Feiaidan
Nikolaevich
Xfactor
KeyceNjou
Jayonepey
The stranger
Maundumula
weka contacts zako hapa tukutafute
 
Husika na kichwa cha habari kwa anaeitaji kitabu cha ukulima wa vitunguu,mboga zote na matunda na ufugaji wa kuku anaweza kuniPm bei ni Elfu tano tu (5000/=) kwa kimoja na elfu kumi na tano (15,000/=) Kwa vitatu utakavyochagua.Gharama Za kudeliver ni zangu na mikoani MTATUMIWA

UFAFANUZI
1.KILIMO CHA MBOGA
Vitunguu,Nyanya,kabichi,karoti,mchicha,pilipili hoho na Madawa ya kudhibiti magonjwa na wadudu waharibifu
2.UFUGAJI BORA WA KUKU
Kuku wa kienyeji na kisasa
3.KILIMO BORA CHA MATUNDA
Michungwa,Miembe,Migomba,Minanasi,Mipapai,Mipesheni na Matikiti maji
4.USINDIKAJI WA MAZIWA
Mtindi,Yoghut,Siagi,Samli,Jibini na Askrim za Maziwa
5.UFUGAJI BORA WA MBUZI
6.NG'OMBE WA MAZIWA
7.NG'OMBE WA NYAMA(fattening)

Karibuni wote
Cc
Kibananhukhu
Neema prosper
KeyserSoze
Chuvachok
Feiaidan
Nikolaevich
Xfactor
KeyceNjou
Jayonepey
The stranger
Maundumula

Imeeleweka kijana
 
Huyu embojo vipi? Mbona haeleweki? Humu JF siku hizi kuna mambo ya ajabu kweli kweli! Tukiendelea hivi JF itapoteza "moto" wake. TUACHE HIZI!

Kuna tatizo kijana sieleweki maandishi hayasomeki au kunani hapo
 
bado nasubiri kaka, atleast pokea simu ukipigiwa. thats good for buisness! mteja si polisi.

Pole mkuu I must have been tired or sth,I will call you when they are available aisee
 
Huyu mkuu nimeshindwa kumuelewa kabisa, last wiki nimempigia simu akasema yupo k/koo nikamweleza nilipo tukakubaliana tukutane stesheni jioni lakini alisema kimebaki cha ufugaji wa kuku nikamwambia lete hicho tu.cha ajabu kaingia mitini hadi leo, wafanya biashara wa kibongo cjui kwanini huwa hatupo makini na kazi
 
Back
Top Bottom