Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kati ya mambo yanayobishaniwa sana na wanasayansi na wadadisi wa ulimwengu ni uwepo wa viumbe katika sayari nyingine. Taifa kama la Marekani limewekeza mabilioni ya dola kufuatilia jambo hili.
Je, vitabu vya dini kubwa(Biblia na Quran) vinasemaje au vinatupa mwanga gani kuhusu uwepo wa maisha, ustaarabu au viumbe katika sayari nyingine?
Je, vitabu vya dini kubwa(Biblia na Quran) vinasemaje au vinatupa mwanga gani kuhusu uwepo wa maisha, ustaarabu au viumbe katika sayari nyingine?