DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Huu Mtiriko umeutoa wapi..Nakukumbusha Tu mkuu huu mtiririko RELIGION - THEOLOGY - PHILOSOPHY-SCIENCE.
Kama kusingekuwepo dini Leo hapa jukwaani nadhani tungekuwa tunaongelea sayansi kimu.
Dunia ina oksjen,, nitrogen,, hydrogen,, carbon dioxide nk lakini kwa ajili ya wanyama,,samaki,,binadamu na bacteria na wadudu hewa ya muhimu sana ni oksijenHewa siyo oksijeni pekee.
Hivi biblia imezungumzia sayari zingine kweli? Nadhani imezungumzia dunia tu na maisha ya dunia.Kati ya mambo yanayobishaniwa sana na wanasayansi na wadadisi wa ulimwengu ni uwepo wa viumbe katika sayari nyingine. Taifa kama la Marekani limewekeza mabilioni ya dola kufuatilia jambo hili.
Je vitabu vya dini kubwa(Biblia na Quran) vinasemaje au vinatupa mwanga gani kuhusu uwepo wa maisha, ustaarabu au viumbe katika sayari nyingine?
We kweny ule uzi mwingine uliniuliza swali hilihili then baada ya kukuuliza maswali juu ya dunia yako iliyojiumba kibahati ukanikimbia.Thibitisha uwepo wa Mungu.
Haiwezekani viumbe wa sayari nyingine wakawa wanatumia hewa nyingine tofauti na oksijeni?Dunia ina oksjen,, nitrogen,, hydrogen,, carbon dioxide nk lakini kwa ajili ya wanyama,,samaki,,binadamu na bacteria na wadudu hewa ya muhimu sana ni oksijen
Siwez jenga hoja na mtu aliyeshikiwa akili.Thibitisha Mungu yupo.
Vitabu vya hovyo sana. Vina ngano na miiujiza lakini havina majibu yoyote ya maana. Mwanzoni wakristo waliamini kuwa vitu vyote vinazunguka dunia kiasi cha kuwapatiliza akina Gallileo bure na baadaye kuwaomba msamaha wakiwa mavumbi. Kimsingi, dini ni utapeli wa kawaida sawa na upiga ramli na siasa.Kati ya mambo yanayobishaniwa sana na wanasayansi na wadadisi wa ulimwengu ni uwepo wa viumbe katika sayari nyingine. Taifa kama la Marekani limewekeza mabilioni ya dola kufuatilia jambo hili.
Je, vitabu vya dini kubwa(Biblia na Quran) vinasemaje au vinatupa mwanga gani kuhusu uwepo wa maisha, ustaarabu au viumbe katika sayari nyingine?
Which is original thought.?Siwez jenga hoja na mtu aliyeshikiwa akili.
Kweny uzi mwingine I told juu leta hoja unazoona ni contradictions kweny bible ukaenda ku-google na ku-copy website page nzima ukanishushia pale, inachekesha at the same time inashusha morale ya kujenga hoja na mtu anayefanya kitu kama hicho.
I can't argue with someone without any original thoughts.
Hapa sijakuelewa Mkuu..Vitabu vya hovyo sana. Vina ngano na miiujiza lakini havina majibu yoyote ya maana. Mwanzoni wakristo waliamini kuwa vitu vyote vinazunguka dunia kiasi cha kuwapatiliza akina Gallileo bure na baadaye kuwaomba msamaha wakiwa mavumbi. Kimsingi, dini ni utapeli wa kawaida sawa na upiga ramli na siasa.
Hii dunia ina mambo ya ajabu Sana.Hakuna.
Kwa suala nyeti kama hili, kungekuwa na kitu tungeshajua kitambo
Hata kama nimeishiwa akili.Siwez jenga hoja na mtu aliyeshikiwa akili.
Kweny uzi mwingine I told juu leta hoja unazoona ni contradictions kweny bible ukaenda ku-google na ku-copy website page nzima ukanishushia pale, inachekesha at the same time inashusha morale ya kujenga hoja na mtu anayefanya kitu kama hicho.
I can't argue with someone without any original thoughts.
Mungu yupo , kama jinsi ilivyo kwa oksijeni unayoivuta kila sekunde hujawahi kuiona ipoje, na kuishia kusema, kwamba it colourless, tasteless odourless etc.Hata kama nimeishiwa akili.
Kuishiwa kwangu akili nako ni uthibitisho Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.
Mungu huyo kuwepo na kuumba ulimwengu ambao watu wanaweza kuishiwa akili ni contradiction.
Zile contradictions hujajibu hata moja.
Huwezi kujibu.
Kwani wapi nimesema natafuta kumuona Mungu?Mungu yupo , kama jinsi ilivyo kwa oksijeni unayoivuta kila sekunde hujawahi kuiona ipoje, na kuishia kusema, kwamba it colourless, tasteless odourless etc.
Usitafute kumwona Mungu kama unavyomwona Mazoea.
Ukuu wa Mungu ndiyo unaonekana na hujidhihirisha katikati ya watu wake
Vithibitisho vya uwepo wa Mungu.Kwani wapi nimesema natafuta kumuona Mungu?
Wewe hata kuelewa hoja yangu unaelewa?
Hujathibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Hujathibitisha Mungu yupo unafanya circular argument.Vithibitisho vya uwepo wa Mungu.
Ni matendo yake jinsi anavyojidhihirisha kwenye maisha ya wanadamu.
Je, unaelewa Mungu ni wa namba gani?
Hachunguziki, Bali kila Mwanadamu anaouwezo wa kuelezea ukuu wa Mungu kadri jinsi Mungu alivyojifunua kwa Mwanadamu kupitia Matendo yake Makuu ambayo ni nje ya uwezo wa Mwanadamu.
Uthibitisho wa Uwepo wa Mungu upo kwenye jamii yetu inayotuzunguka, Ukuu wake unaonekana.
Watu kila siku wanashuhudia jinsi walivyokombolewa ,Jinsi Mungu alivyowasaidia kutoka kwenye Kifungo cha Nguvu za Giza.
Je, huna Imani na jamii inayokuzunguka?
Rehema na kweli zisifarakane nawe.
Kuishiwa akili ≠ kushikiliwa akiliHata kama nimeishiwa akili.
Kuishiwa kwangu akili nako ni uthibitisho Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.
Mungu huyo kuwepo na kuumba ulimwengu ambao watu wanaweza kuishiwa akili ni contradiction.
Zile contradictions hujajibu hata moja.
Huwezi kujibu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwapo, kusingewezekana kuwepo kuishiwa akili, kushikiliwa akili wala ugonjwa.Kuishiwa akili ≠ kushikiliwa akili
Soma vizur nilichoandika.
Unajitafutia gonjwa then unamlaumu mungu, seriously?
Brother Kiranga believing or not believing in the existence of God, both take huge leaps of faith.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwapo, kusingewezekana kuwepo kuishiwa akili, kushikiliwa akili wala ugonjwa.
Hayo yote kuwepo ni ku contradict uwepo wa Mungu huyo.
Lakini wewe huelewi.
Kwa sababu huelewi the problem of evil, huelewi Epicurean paradox.
Na kutoelewa kwako pia ni uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.
Angekuwapo, asingekuwa mkatili hivyo kukunyima uelewa wa kitu basic kama hicho.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Hujapangua contradictions nilizokuwekea, hata mija.
Naomba condition unazotumia kuita argument, is logical fallacy.Hujathibitisha Mungu yupo unafanya circular argument.
Nakuambia thibitisha Mungu yupo.
Unaniambia Mungu yupo kwa sababu tunaona matendo yake.
Unahakikishaje hayo matendo ni ya Mungu tu na si vinginevyo?
Unasema Mungu hachunguziki.
Sasa kama Mungu hachunguziki wewe umejuaje hachunguziki?
Kama Mungu hachunguziki, umejuaje haya ni matendo ya Mungu?
Na unajuaje hiyo habari kwamba Mungu hachunguziki si ya kutungwa na watu tu kukupoza ukubali Mungu yupo bila uthibitisho wa uchunguzi?
Unasema kila mwanadamu anaelezea ukuu wa Mungu, mimi na atgeists wengi hatukubali uwepo wa Nungu hapo huna hoja, unalqzinisha mambo tu.
Kusema watu wengi kumshuhudia Mungu yupo ndiyo uthibitisho Mungu yupo ni logical fallacy, argument from popularity. Watu wengi kushuhudia kitu hakufanyi kitu kiwe kweli. Kitu cha kweli kinaweza kisikubalike na wengi, halafu cha uongo kikakubalika na wengi.
Ukweli hautegemei jura za watu, utasimama palepale ukikubaliwa na watu wengi au wachache.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Umeandika circular logic na logical fallacies mwanzo mpaka mwisho.
Hujathibitisha Mungu yupo.