kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Itatia shaka na kichefuchefu kumuona kiongozi wa mpira ana tumbo kubwa linaloning'ia. Kiongozi wa hivi anakatisha tamaa na kuwatia uvivu wachezaji. Kiongozi wa hivi anatia mashaka juu ya umakini wake kwenye tasinia ya michezo. Kifupi hafai kuwa kiongozi wa timu wala chama cha michezo, maana anaonekana mzembe kwa kila MTU.
Hatuwezi kusisitiza fitness kwa wachezaji wakati kiongozi ana kitambi cha kufa mtu. Kiongozi kuwa na kitambi kikubwa wakati wachezaji wanakosa malipo yao inawatia Mashaka ya hela zao kuliwa na kiongozi.