Vitambi kweli ni changamoto

Vitambi kweli ni changamoto

Yaani Miezi 6 kitambi kimekua mpaka unashindwa kuvaa viatu na kukaa chini? Kapime ugonjwa wa ini au moyo nao unasababisha tumbo kuvimba,unaweza ukafikiri kitambi kumbe tumbo limevimba.
[emoji15] [emoji134] nitafanya hivyo Mkuu, maana[emoji134] [emoji24]
 
Tafuta nyimbo ya Bambo inaitwa Kitambi Noma utapata majibu ya maswali yako yote.
 
Yaaan kumbe wenye Vitambi wana shida sana.

Ukimuona mtaaani unaona vizuri.

Kumbe nyuma ya pazia ni balaaa
Kama kitambi cha mlundikano wa wese fanya mazoezi ya kukimbia na diet kitatoka fasta ndani ya miezi mi3 utakuwa na tumbo flat.
 
Wasalamu wakuu,

Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.

Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134]

Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134]
Kuvaa suruali shida, yaani shida tupu.

Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????

Msaada wenu wakuu.
mtu mwenye kitambi mwambie avae soksi au akate kucha za miguu yake,utamuhurumia sana😁
 
Wasalamu wakuu,

Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.

Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134]

Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134]
Kuvaa suruali shida, yaani shida tupu.

Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????

Msaada wenu wakuu.
Kunyoa mavuvuzela ndiyo taabu kubwa
 
Yaaan kumbe wenye Vitambi wana shida sana.

Ukimuona mtaaani unaona vizuri.

Kumbe nyuma ya pazia ni balaaa
Vtambi wengi wavivu kwenye gemu huhema juu juu ka bata na mchezo kwao ni sifuri
 
Tafuna tangawizi,kaa dk 5 utaona matokeo.

Jamba jamba utakayoipata sio ya nchi hii

Siku nzima utashinda uko na jamba jamba.
 
Huwa najiuliza inakuaje mpk mtu unashuhudia kitambi kinaota na kukiacha
 
ukitaka kuona tabu zaidi ya kitambi udondoshe hela, ukiwa umbali wa mita moja hela unaiona, ukisogea karibu ili uiokote hawezi kuiona tumbo linatangulia kufika.
 
Unakula nini mkuu?

Mbona kitambi kimeota kwa muda mfupi hivyo?
Hahahha...aiseee...nikirudisha nyuma miezi kama Sita hivi...nilikuwa fresh, sina tabu kukaa, kuvaa viatu...kupiga kiwi.

Now shida tu.

Gongo tena mkuu![emoji134] [emoji2]
 
Huwa najiuliza inakuaje mpk mtu unashuhudia kitambi kinaota na kukiacha
Yaan kinakuja ghafla tu. Unashangaa watu wanakwambi una kitambi, ndo unaaanza kujichunguza unakuta kamaa kweli
 
Akakope bank na dhamana iwe nyumba
Mtoa mada,tafuta mchepuko mmoja tu,akiomba pesa za matumizi kwa miezi 2 mfulululizo kitambi chote kwisha habari yake.
Angalia tu usije tomb.wa,maana wenye vitambi wengi wana vibamia plus kutoweza kupiga show za kibabe!!
 
Kuna jamaa aliwahi kusema namnukuu "kitambi ni dalili muhimu ya uzembe na ukosefu wa nidhamu juu ya mwili wako " alisema na kuongeza
Pia kitambi ni dalili ya ulafi maana yake unakula hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom