Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
- Thread starter
- #41
[emoji15] [emoji134] nitafanya hivyo Mkuu, maana[emoji134] [emoji24]Yaani Miezi 6 kitambi kimekua mpaka unashindwa kuvaa viatu na kukaa chini? Kapime ugonjwa wa ini au moyo nao unasababisha tumbo kuvimba,unaweza ukafikiri kitambi kumbe tumbo limevimba.