Vitambi kweli ni changamoto

Vitambi kweli ni changamoto

Yaani mkuu, ni shida sana....shida hadi kujisugua miguu...Shida kuvua boksa uoge.

Hicho kitambi kitakua kikubwa sana umekileaa[emoji3][emoji3][emoji3]mpk kujisugua miguu huwezi jmn hapana,,,,,,,,,,Jitahd ufanye mazoezi sana na kuzingatia milo sahihi!
 
Hhahahha...Napiga show kama kawa.

Ina maana na hili huwapata wenye vitambi?! Inabidi nione mikakati ya kukiondoa.

Ila kitambi kuna raha zake[emoji2] ...unaonekana kama Bosi vile
Mke au demu wako ndo anaweza kuthibitisha hili siyo wewe!
 
Screenshot_2018-09-14-17-46-58-224.jpeg
Screenshot_2018-09-14-17-48-31-369.jpeg
 
Tatizo la kitambi bana kinakuja kirahisi sana ila sasa kukitoa ni mbindee.. Mtu mwenye kitambi hata akiugua anakongoroka uso mashavu yanaingia ndani mwili wote unakonda ila baba kitambi kipo palepale...
 
Wasalamu wakuu,

Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.

Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134]

Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134]
Kuvaa suruali shida, yaani shida tupu.


Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????

Msaada wenu wakuu.
[emoji1] [emoji1] tupia picha nikupe ushauri kulingana na ukubwa wa kitambi chako
 
Hhahahha...Napiga show kama kawa.

Ina maana na hili huwapata wenye vitambi?! Inabidi nione mikakati ya kukiondoa.

Ila kitambi kuna raha zake[emoji2] ...unaonekana kama Bosi vile
Kitambi umebeba uchafu hapo subiri presha
 
Back
Top Bottom