Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Total calories consumed from food and drinks per day must be less than total calories burnt per body weight and height per day.How?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Total calories consumed from food and drinks per day must be less than total calories burnt per body weight and height per day.How?
Ivi ndani ya kitambi huwa kunakua na nini..gesi au ni nini
FetmaHata obesity..ni dalili ya utaahira.
Yaani mkuu, ni shida sana....shida hadi kujisugua miguu...Shida kuvua boksa uoge.
[emoji23][emoji134]
Mke au demu wako ndo anaweza kuthibitisha hili siyo wewe!Hhahahha...Napiga show kama kawa.
Ina maana na hili huwapata wenye vitambi?! Inabidi nione mikakati ya kukiondoa.
Ila kitambi kuna raha zake[emoji2] ...unaonekana kama Bosi vile
Fanya mazoez mkuuBhasi nianze jitihada za kukiondoa kabla hakijawa kikubwa sana.
Show bado napiga kama kawa.
Ngoja nikiwahi,
Ila kwa hiki kitambi, napata heshima kama bosi...hahah.
Kumbe mlalahoi
[emoji1] [emoji1] tupia picha nikupe ushauri kulingana na ukubwa wa kitambi chakoWasalamu wakuu,
Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida.
Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa, nahangaika kweli mpaka naona tumbo linauma[emoji134]
Kuvaa viatu shida, kuvua viatu shida[emoji134]
Kuvaa suruali shida, yaani shida tupu.
Wakuu wenye vitambi toka zamani, huwa mnaendana navyi vipi? Ama mnafanyaje wakati wa kukaa? Kuvaa viatu n.k????
Msaada wenu wakuu.
MafutaIvi ndani ya kitambi huwa kunakua na nini..gesi au ni nini
Kitambi umebeba uchafu hapo subiri preshaHhahahha...Napiga show kama kawa.
Ina maana na hili huwapata wenye vitambi?! Inabidi nione mikakati ya kukiondoa.
Ila kitambi kuna raha zake[emoji2] ...unaonekana kama Bosi vile