Vitambulisho vinavyothibitisha mtu hawezi kuambukiza wengine COVID-19 vitaanza kutumika katika nchi 15 duniani ikiwemo Afrika Kusini

Vitambulisho vinavyothibitisha mtu hawezi kuambukiza wengine COVID-19 vitaanza kutumika katika nchi 15 duniani ikiwemo Afrika Kusini

It is Minah!Yaani siamini kabisa kwamba it is happening in my lifetime,mimi niliamini hiki kitu hakitanikuta,things are unfolding just too fast.

True Mkuu, hata mimi niliamini sana kuwa haya mambo hayatanikuta in my lifetime na siku zote nilikuwa nawawazia sana wanangu na kuumia kuwa wao ndio yatawakuta na watoto wao na nilikuwa nawaombea ili yatakapoanza MUNGU awapiganie. Lakini kwa hii kasi naona

Mhh,

Hakika BWANA YESU hauko mbali, eeh MUNGU tupiganie wajawako kwasababu kwa nguvu zetu hatutaweza kukwepa lolote. Ni wewe tu MUNGU wetu.
 
Nadhani swala hilo likishika kasi kwa ukanda wetu litaanzia kenya au rwanda
Yaani kama ulijua na mimi nawaza hivyohivyo, Kenya kwa East Africa ndio watakuwa wakwanza kujiunga
 
True Mkuu, hata mimi niliamini sana kuwa haya mambo hayatanikuta in my lifetime na siku zote nilikuwa nawawazia sana wanangu na kuumia kuwa wao ndio yatawakuta na watoto wao na nilikuwa nawaombea ili yatakapoanza MUNGU awapiganie. Lakini kwa hii kasi naona Mhh,
Hakika BWANA YESU hauko mbali, eeh MUNGU tupiganie wajawako kwasababu kwa nguvu zetu hatutaweza kukwepa lolote. Ni wewe tu MUNGU wetu.
Tuombe ndio mkuu, lakini pia tukumbuke kwamba kama ni mpango wa Mungu, lazima
itatokea, kwa kuwa mpinga Kristo lazima atawale kwa miaka 7, na hizi ndizo preparations zenyewe, ndio baada ya hapo Kristo Yesu atawale for 1000 years, after which everything will be destroyed
 
The mark of the beast
Je, utaishangaa hii? Hili ndilo jina la act iliyopitishwa Marekani for testing, reaching, and contacting every one(TRACE). Please note the number! Does it tell you anything?

H.R. 6666 - COVID-19 Testing, Reaching, And Contacting Everyone (TRACE) Act
 
Je,utaishangaa hii?Hili ndilo jina la act iliyopitishwa Marekani for testing,reaching,and contacting every one(TRACE).Please note the number!Does it tell you anything?

H.R.6666 - COVID-19 Testing, Reaching, And Contacting Everyone (TRACE) Act
I've also seen this toka kitambo. If I'm not mistaken bill gates ndie atatengeneza hivi vifaa
 
huyu kiumbe anayeitwa mzungu mbona anahangaika sana na binadamu wenzake namna hii
mbona mwarabu hayupo hivi
 
Tanzania ni Taifa pekee ambalo Mungu amekusudia Watanzania wasiwekwe hizo Chip ndo maana kamleta Rais Magufuli ni lazima haukatae huo mpango.Ni maoni yangu hata Kama utaona ni Utopolo fc.
For how long can we reject this tech?
Considering, Consent is voluntary, but enforcement will be compulsory ?

It's obvious Magufuli will eventually not be our president one day, so what will new president do about it then?
 
We will reject this tech for how long?
Considering, Consent is voluntary, but enforcement will be compulsory ?

It's obvious Magufuli will eventually not be our president one day, so what will new president do about it then?
Ni kizungu mkuti frankly. Na hawa watu ni so shrewd kiasi kwamba they will use any means possible to make sure that they have a puppet President in place as in Kenya, hasa kwa kuwa to them Tanzania is a strategic country because of its' reach mineral resources.
 
Dunia inaenda kasi sana
Kasi na mwisho mkuu.The end game is just around the corner.This is kairos moment for our country.Tukifanya the slightest mistake in decision making,it is over.
 
huyu kiumbe anayeitwa mzungu mbona anahangaika sana na binadamu wenzake namna hii
mbona mwarabu hayupo hivi
Shetani amewachagua hasa Marekani na Uingereza ili watekeleze maslahi yake kwa Wanadamu.Haya yote unayo ona yanatendeka ni kwa maslahi ya Shetani na wanaoyatekeleza akina Bill Gates Rockefeller,George Soros,Rothschild,Anthony Fauci ni agents wake,anawatumia kama makarai tu.They surely have been cheated by the Devil as he usually does.Naamini Shetani amewadanganya kwamba yeye ndiye Mungu,very stupid indeed.Anthony Fauci kwa mfano ni a staunch Jesuit,na Jesuit ndio wabaya kweli kweli,ni waaminifu sana kwa bwana wao Shetani.Wengine ni Skull and Bones na Freemasons kama Rothschild.

Na unajua kwa nini wanahangaika sana mkuu,Shetani anajua hana muda mwingi uliobaki.Si unajua he will rule the World for only 7 years,na baada ya hapo anakwenda kifungoni for 1000 yrs,and then atahukumiwa kwa kutupwa kwenye jehanam ya moto na wote aliowadanganya for eternity.
 
For how long can we reject this tech?
Considering, Consent is voluntary, but enforcement will be compulsory ?

It's obvious Magufuli will eventually not be our president one day, so what will new president do about it then?
As long as magufuli is our president, we can be certain that he won't allow this. When the next president comes, nobody knows.
 
Shetani amewachagua hasa Marekani na Uingereza ili watekeleze maslahi yake kwa Wanadamu.Haya yote unayo ona yanatendeka ni kwa maslahi ya Shetani na wanaoyatekeleza akina Bill Gates Rockefeller,George Soros,Rothschild,Anthony Fauci ni agents wake,anawatumia kama makarai tu.They surely have been cheated by the Devil as he usually does.Naamini Shetani amewadanganya kwamba yeye ndiye Mungu,very stupid indeed.Anthony Fauci kwa mfano ni a staunch Jesuit,na Jesuit ndio wabaya kweli kweli,ni waaminifu sana kwa bwana wao Shetani.Wengine ni Skull and Bones na Freemasons kama Rothschild.

Na unajua kwa nini wanahangaika sana mkuu,Shetani anajua hana muda mwingi uliobaki.Si unajua he will rule the World for only 7 years,na baada ya hapo anakwenda kifungoni for 1000 yrs,and then atahukumiwa kwa kutupwa kwenye jehanam ya moto na wote aliowadanganya for eternity.
hawa jamaa ukisoma mambo yao utadhani sio binadamu wa kawaida cha ajabu na wao wanazeeka na kufa kama kawaida
nilidhani mambo wanayoyafanya wangekua tofauti kidogo na sisi wa kawaida mf bush snr wanasema yeye ni skull n bones amekufa kama binadamu wengine kazeeka mpaka akawa anatembea na kiti cha matairi wangekua angalau hawazeeki basi
ila kiongozi mi ni mkatoliki hapo mwisho kwenye mambo ya shetani na moto wa milele ni kwetu sisi tu RC au maana kuna watu huko china thailand na kwengineo haya mambo hayapo hivi wanafikiriwaje hawa
 
Mkuu hawatakuwa na cha kujitetea au udhuru,hata kama Injili itakuwa haijawafikia.Mpango wa Mungu ni kwamba kila mtu aisikie Injili amkatae Bwana Yesu mwenyewe.Kwa wale ambao watakuwa wamekufa bila kuisikia Injili au katika Sheria,Biblia imeweka mambo wazi jinsi hukumu yao itakavyo kuwa.Soma maandiko yafuatayo ili uone jinsi Mungu atakavyo wahukumu watu kama hao! Warumi1:18-23 halafu Warumi 2:11-16.

Warumi 1:18-23.

18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.

19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.

20 Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;

21 kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.

22 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;

23 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.

Soma pia Warumi 2:11-16.Hapa utaona mambo katika uwazi zaidi!

11 kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.

12 Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.

13 Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki.

14 Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.

15 Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;

16 katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.

Kwa hiyo unaona mkuu,Mungu hana upendeleo,kwa hiyo hakuna mtu atakaye kuwa na udhuru.
 
Back
Top Bottom