Gordon Technology
Member
- Apr 29, 2016
- 49
- 68
- Thread starter
- #21
HapanaVitasa vina camera?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaVitasa vina camera?
Hapo sawaKitasa kina funguo,card,password na app ya simu.,.ni sawa na vitasa vingine mkuu
Nataka ambacho naweza kukiseti kuendana na miezi, fulani ili kodi ikiisha tu mpangaji hajalipa asiweze kuingia ndani, kiwe kimampa alert wiki mbili kabla kodi yake haujaisha, naweza pata hii. Product?250,000 mpaka 300,000...kupishana Kwa Bei sbb vitasa vipo aina tofauti,size tofauti na kwa matumizi tofauti km hotels,domestic uses NK...kwa ufafanuzi waweza wasiliana nasi sbb SIO muda wote tunapata wasaa wa kua online ktk jukwaa hili .... 0746373222.
Vinatumika pote...vipo kwa ajili ya hotelini na vipo kwa ajili ya majumbani,...Hivyo vitasa vinafaa bkwenye hoteli na siyo kwenye nyumba binafsi.
Vipo vitasa vyenye camera ukihitaji na vipo visivyo na cameraVitasa vina camera?
Ndio unapata mkuu...tupgie 0746373222.Nataka ambacho naweza kukiseti kuendana na miezi, fulani ili kodi ikiisha tu mpangaji hajalipa asiweze kuingia ndani, kiwe kimampa alert wiki mbili kabla kodi yake haujaisha, naweza pata hii. Product?
Vina port ya ku connect source ya power, kama unavyochaji simu, unaweka power bank etc, vingine wameweka traditional keyhole kwa kufungua manually...Ukiwa nje na kitasa kikaishiwa power, unafanyaje kuingia ndani?.
Thank you mkuu, nimechukua namba Nakupigia.Ndio unapata mkuu...tupgie 0746373222.