Habarini wakuu,
Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi....
Utaratibu ni kuwa MTU atatoa vitendawili, methali, nahau au fumbo na memba wengine wanajibu na utaratibu utaendele vivo hivyo
Nikaianza Mimi...vitendawili......nyumba yangu haina mlango........[/QUOTE]
....BashiteTumbua tumbua wengine ila si......
nipe mji mkuuJibu lake ni Chato Mkuu.
sizonje1. Pamparume mlango wa chuma ukiifungua hauna huruma ...........!
2. Pppprrrrrrrrrrrrrrrrrr mpaka mecca......!
Mkishindwa mnipe mjivila kibiti nakataa!
Kesho ataliwa yeyeMla mla leo,mla Jana.......!??
Jibu lake ni "Yai"Habarini wakuu,
Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi....
Utaratibu ni kuwa MTU atatoa kitendawili, methali, nahau au fumbo na memba wengine wanajibu na utaratibu utaendelea vivo hivyo
Nikianza Mimi...kitendawili......nyumba yangu haina mlango........
nipe mji mkuu
sizonje
Bora kibiti mkuu....kolomije hapana mkuuπππChukua Kolomije Mkuu kwa Mabashite. Huko kama hujui kikolomije huwezi kuishi. π΅π΅π΅