Vitendawili, methali, nahau na mafumbo special thread

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Habarini wakuu,
Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi....
Utaratibu ni kuwa MTU atatoa kitendawili, methali, nahau au fumbo na memba wengine wanajibu na utaratibu utaendelea vivo hivyo

Nikianza Mimi...kitendawili......nyumba yangu haina mlango........
 
Jibu lake ni Chato Mkuu.

Habarini wakuu,
Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi....
Utaratibu ni kuwa MTU atatoa vitendawili, methali, nahau au fumbo na memba wengine wanajibu na utaratibu utaendele vivo hivyo

Nikaianza Mimi...vitendawili......nyumba yangu haina mlango........[/QUOTE]
 
1. Pamparume mlango wa chuma ukiifungua hauna huruma ...........!

2. Pppprrrrrrrrrrrrrrrrrr mpaka mecca......!
Mkishindwa mnipe mjivila kibiti nakataa!
 
Uwanja Wangu Huu..! Asante Mleta Uzi.
Mpofuka ukongweni...hapote njia
 
Heri Kenda Shika...

Kuliko Kumi Nenda Uje.
 
Kozi Mwana Mandanda...

Kulala Na Njaa Hupenda
 
Habarini wakuu,
Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi....
Utaratibu ni kuwa MTU atatoa kitendawili, methali, nahau au fumbo na memba wengine wanajibu na utaratibu utaendelea vivo hivyo

Nikianza Mimi...kitendawili......nyumba yangu haina mlango........
Jibu lake ni "Yai"
 
Back
Top Bottom