Vitendawili, methali, nahau na mafumbo special thread

Vitendawili, methali, nahau na mafumbo special thread

Maji ya kifuu.........

Ganda la muwa la jana..........
 
Habarini wakuu,
Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi....
Utaratibu ni kuwa MTU atatoa kitendawili, methali, nahau au fumbo na memba wengine wanajibu na utaratibu utaendelea vivo hivyo

Nikianza Mimi...kitendawili......nyumba yangu haina mlango........
Ita fundi seremala atengeneze mlango
 
Back
Top Bottom