Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #241
Ndio tupo kwenye harakati za kujisajili na Mwenyekiti wa muda anaendelea bado.Hiyo SACCOS imeshasajiriwa tayari?
Na je mwenyekiti wa Muda anaendelea au mmeshachagua Mwenyekiti mwingine wa Kudumu.
samahani,naomba kueleweshwa,ina maana katika hiyo SACCOS nikikopa narudisha kama nilivokopa,mfano:nikikopa 1m narejesha 1m?,bila riba SACCOS inamudu vipi ghalama za uendeshaji (operation costs)?
Sent using Jamii Forums mobile app
nimependa hiiChama kinaingiza pesa zake kwa kuwekeza kwenye miradi tofauti.
Inaonekana mambo yanaenda kwa spidi.
Tunaomba taarifa za mara kwa mara
Mkuu taarfa muombe Zainab TamimTunaomba taarifa za mara kwa mara
Ndio. Ada ya kujiunga ni 10,000 tu.Ada ya kiingilio 10000???[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
mi npo iringa nahitaji kuwekeza kwenye kilimo je fursa ya kukopeshwa vifaa ipo?
Dada Ziman nilikosa ile ya kwanza, Mungu akipenda Mapema sana sana nitatoa chochote.Announcement...
Uwekezaji wetu wa machimbo ya mchanga (sand mining) mapya unaanza tena hivi karibuni.
Kwa yeyote ambae anataka kuwekeza anakaribishwa, uwekezaji wake unaanza sasa na tukikamilisha manunuzi ya shamba na vibali kazi inaweza kuanza mara moja.
Tuna estimate manunuzi mpaka kumaliza vibali vyote kisheria na kuanza kazi itachukua ndani ya miezi miwili iwapo tu tutapata funds za kutosha haraka.
Miezi hii ni mizuri kuanza kazi kwani hakuna mvua kubwa mpaka itakapofika masika.
Uwekezaji ni kuanzia Shillingi million moja hadi million 30 kwa mtu mmoja. Faida ni 50% ndani ya miezi sita mpaka tisa.
Kwa maelezo zaidi piga simu au whatsapp 0625249605 Mzee Abdul.
Kwanza kabisa, asante sana kwa kauli zako njema.Nimefuatilia nyuzi zako kwa makini sana Mr's Abdul ningependa nikupongeze kwa juhudi zako na binafsi wewe ni mmoja kati ya watu ninao wakubali Sana katika jukwaa hili.
Pia nikupe pongezi kwa saccos yenu,itanufaisha wengi.
Binafsi Kama mjasiriamali siwezi kukopa kwa mtu bila kumrudishia na pesa ya nyongeza (riba) naona Kama namrudisha nyuma ki uchumi ....Naomba unisaidie Kama mfanya biashara Je upande wenu hamnufaiki na chochote?(faida) Na Kama hamnufaiki na chochote mnaweza vipi kuendesha saccos yenu?
Karibu sana na fanya bidii uwekeze mapema kwani funds tunazohitaji kuanza mradi mpya ni million 60 na response ni nzuri sana mpaka sasa. Tutakapotimiza million 60 tutafunga uwekezaji wa awamu hii mpaka tutakapotangaza tena.Dada Ziman nilikosa ile ya kwanza, Mungu akipenda Mapema sana sana nitatoa chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata vyema mkuu, napenda kufanya biashara/uwekezaji na watu Makini,Na kwa hili Tuombe kheri na Uzima Tutakuwa pamoja mkuu.Kwanza kabisa, asante sana kwa kauli zako njema.
Sisi tunafaidika sana, baadhi ya faida tunazonufaika nazo:
1) Sisi pekee tusingeweza kumudu miradi tunayoifanya nje ya saccos bila kumshirikisha wawekezaji wengine ambao kila mwenye mtaji mdogo ambae alikubali wazo letu tumeingia nae ubia wa muda mfupi, ubia wa mradi kwa mradi.
Tunashukuru kwa muitikio na tukaweza kuanza mradi mdogo wa kwanza kwa kuwekeza kwa ubia kwa mtu kuwekeza kuanzia Shillingi 500,000.
Tukafanya vizuri kwa muda mfupi tukaendelea na mradi wa pili, nao tukafanya vizuri na kuweza kuongeza mradi mwengine wa uwekezaji wa kati. Kima cha chini kikawa million tano kwa mwekezaji. Nao ukafanye vizuri kwa muda mfupi sana.
Tukawa na miradi mitatu inayoenda sambamba. Wawekezaji wanafaidika na sisi tunafaidika kwa kuisimamia miradi na mtaji wetu mdogo unazaa sambamba na wengine.
Sasa tupo mradi wa nne, wa kwanza ulikamilika, wa pili, wa tatu na wa nne inakwenda samba samba na wa pili nne tunatarajia itakamilika October. Wa tatu utaisha mwakani mwezi April.
Sasa tunaanza wa tano ndani ya miezi miwili ijayo. Huu utajumuisha wawekezaji wa kuanzia Shillingi million moja hadi million 30 kwa kila mwekezaji. Unakaribishwa.
2) Faida ya pili ni kuanzisha saccos rasmi ambayo itajumuisha wawekezaji wa kila mtaji, mdogo na mkubwa, na kuwekeza kwenye miradi mikubwa na midogo ambayo itajumuisha watendaji wa miradi (wana saccos wataokopa), wawekezaji ambao mitaji yao itatumika kukopesha.
Tinakopesha kwenye miradi ya maendeleo ambayo na sisi wenyewe tunakuwa wabia, faida tunagawana baina ya mkopaji na mkopeshaji.
3) faida kubwa zaidi ni kuwa na mtandao mkubwa ambao unajumuisha aina tofauti za utaalamu na miradi.
Natumai nimeeleweka.
Kaka unapatikana wapiNilianzisha kikoba cha kukopeshana bila riba
Tunanunua hisa kama kawaida ila Kwenye kukopa MTU anakopa na anarudisha kama ilivyo