Curtis the Second
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 245
- 216
Unafahamu "investor and bussiness owner" business work,mean unakula faida ya sehemu ya uwekezaji wako and not otherwise.Umejaribu kueleza kwa urefu kadri ulivyoweza na mimi nashukuru kwa ufafanuzi wako,lakini kwangu mimi tafsiri ni moja tu kwamba unataka kuanzisha au kuendeleza biashara yako lakini unataka usaidizi sasa haijalishi unapewa pesa au bidhaa au kitendea kazi lakini ukirudisha kuwe na ziada kidogo ambayo mnaweza kuiita jina lolote iwe riba,faida au vyovyote kadiri mtakavyokubaliana lakini kikubwa na ukweli ulio dhahiri hicho ulichopewa(iwe pesa au bidhaa) umekopeshwa.
Sent using Jamii Forums mobile app