Curtis the Second
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 245
- 216
Unafahamu "investor and bussiness owner" business work,mean unakula faida ya sehemu ya uwekezaji wako and not otherwise.Umejaribu kueleza kwa urefu kadri ulivyoweza na mimi nashukuru kwa ufafanuzi wako,lakini kwangu mimi tafsiri ni moja tu kwamba unataka kuanzisha au kuendeleza biashara yako lakini unataka usaidizi sasa haijalishi unapewa pesa au bidhaa au kitendea kazi lakini ukirudisha kuwe na ziada kidogo ambayo mnaweza kuiita jina lolote iwe riba,faida au vyovyote kadiri mtakavyokubaliana lakini kikubwa na ukweli ulio dhahiri hicho ulichopewa(iwe pesa au bidhaa) umekopeshwa.
Mbona mie nlituma lakini mpaka leo cjapataga majibuNdio. Ada ya kujiunga ni 10,000 tu.
Itakuwa kuna tatizo, tunaomba tupe jina lako kamili na namba ulizotuma pesa kupitia whatsapp 0625249605 tukuunge.Mbona mie nlituma lakini mpaka leo cjapataga majibu
Kama nilivyopokea juu hapo, kuna biashara zinahitaji mtaji mkubwa zaidi ya uwezo wetu na wa wengi pia.Umejaribu kueleza kwa urefu kadri ulivyoweza na mimi nashukuru kwa ufafanuzi wako,lakini kwangu mimi tafsiri ni moja tu kwamba unataka kuanzisha au kuendeleza biashara yako lakini unataka usaidizi sasa haijalishi unapewa pesa au bidhaa au kitendea kazi lakini ukirudisha kuwe na ziada kidogo ambayo mnaweza kuiita jina lolote iwe riba,faida au vyovyote kadiri mtakavyokubaliana lakini kikubwa na ukweli ulio dhahiri hicho ulichopewa(iwe pesa au bidhaa) umekopeshwa.
Tumeshaweka sawa. Tusameheane sana.Mbona mie nlituma lakini mpaka leo cjapataga majibu
Thanks Sorted outTumeshaweka sawa. Tusameheane sana.
Karibu VTS.
Reserve my spot.Wadau, mradi wetu wa tano unahitaji Shillingi millioni 60 ili uanze tumeshafanikiwa kupata wawekezaji kwa viwango tofauti vya kuwekeza na mpaka sasa tuna millioni 18.5 bado zinahitajika millioni 41.5
Kima cha chini cha kuanzia kuwekeza ni millioni moja.
Kidole kimoja hakivunji chawa.
Karibu tuwekeze kwa faida ya wengi.
hujaweka maelezo ya kutosha namna ya kununua n.kWadau,
Vitendo SACCOS sasa inauza hisa kwa wanachama wake. Kila hisa moja ni Shillingi 1,000 tu.
Kiukweli ilivyo yaezafanana na riba lakini Allah katika qur an asema riba ni tofauti na Baiyya.Kuna "pilot projects" aina mbili tulianza kuzifanya na muitikio umekuwa mzuri sana, tukawaza kwanini tusiende mbele zaidi na tufikie kwenye "financing" bila riba.
Katika kuchimbua kutafuta namna nyepesi ya kuweza kupata "financing" sijaiona iliyo bora zaidi ya hii "islamic Banking" au to be precise "Islamic Finance".
Kutazama hapa Tanzania nimeona kuwa hakuna "Islamic Finance" nje ya bank. Nimeona kuwa Tanzania kuna biashara kubwa sana imeibuka ya kukopa na kulipa (officially na unofficially) nikaona kuna fursa kubwa sana ikiwa tu tutakuja na mfumo wa kukopa/kukopesha/kuwekeza kwa aina ya "islamic Finance" kwa faida ya wengi.
Inawezekana, na ndio nimeleta huu mjadala hapa ili tubadilishane mawazo. Mawazo tunayobadilishana hapa yanaweza kuwa na chachu za kutazama lipi lifanyike lipi lisifanyike.
Mimi nazungumzia wale wanaosema mfumo wa Islamic Banking kwamba unakopeshwa bila riba,kama wewe unaenda benki kukopa pesa ufanye biashara wakakupatia mfano million 1 lakini wakataka ukirudisha urudishe million 1.1 na wale wa Islamic Banking wanakununulia bidhaa unayotaka kwa kiwango kile kile kisha wakakukopesha ila ukilipa ulipe na nyongeza kidogo ndio nikasema yote ni yale yale.
Bank I and M arusha branch, pale ni shida tupu wapendwa. Kuna kijana pale mwaajiriwa ninafhani anashughulika na mikopo ya nyumba, ni mla rushwa mzuri,ni muongo,ni mlaghai, ni mdanganyifu na mtapeli Wa kweli, na sidhani Kama gani yake ni banker. Wahindi wamemuweka pale sijui kwa nia gani.anaaibisha hiyo Bank.watu wanadanganywa sana na huyu Gideon .jamani tusaidieni.na mikopo hupati hapa arusha tumetapeliwa sana. Aliyetapeliwa hapo atupe neno hapa
Tunachokifanya sisi ni kuunganisha mitaji na kugawana faida. Kuna miradi minne tumeshaifanya mpaka sasa. Miwili ipo ukingoni kumalizika, mmoja tunategemea kuukamilisha end of October na wa nne utaishia April 2018.Kiukweli ilivyo yaezafanana na riba lakini Allah katika qur an asema riba ni tofauti na Baiyya.
Yaani hapo ni faida sio Riba.
Uharamu wa riba katika sheriq ya kiislamu ni kumpa mtu pesa laki moja akakulipa laki na zaidi ila sio kununua pk pk kwa mil 2 ukalipa mil 2.2
Hii 2.2 ni faida ya biashara ya hii pk pk
Wallahu a'alam.
Huo ndo msingi wa uharamu wa riba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda wake ulikuwa bado, shukuru umeuona sasa!
Sasa umeuona karibu sana Vitendo SACCOS.