Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Ila humu raha sana maisha yanayozungumziwa humu sio yale tunayoyaishi huku mtipesa😁😁😁et chupi mkononi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh, hatari sana
Wee hawezi kufanya hiyo mikopo ya chupi, naona yupo kwenye saccos zinazotambulika rasmi za makaziniMkataze wifi, maana wanawake sisi jeuri na tunapenda hizo mambo.
Wee hawezi kufanya hiyo mikopo ya chupi, naona yupo kwenye saccos zinazotambulika rasmi za makazini
Saccoss zipi za makazini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee hawezi kufanya hiyo mikopo ya chupi, naona yupo kwenye saccos zinazotambulika rasmi za makazini
[emoji3][emoji3][emoji3]Wanatumika udugu mpk huruma wanavyokonda kwa kupigwa mikuyenge
Hii mikopo sio kabisaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha hela mnapelekaga wapi mkichukua hiyo mikopoHujatujua wanawake vizuri wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha hela mnapelekaga wapi mkichukua hiyo mikopo
Kazi mnayo aiseeKwa lulu’s hair na ujinga mwingine wa kike wote na kuvimba kwa mashogare km tunazo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Temeke wanafanyeje?Ilikua Arusha sana hii, sahivi iko hapo Tandika na temekee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]