Vitendo vya kihalifu nchini tishio kwa usalama wa raia na mali zao

Ila humu raha sana maisha yanayozungumziwa humu sio yale tunayoyaishi huku mtipesa😁😁😁et chupi mkononi
 
Mkataze wifi, maana wanawake sisi jeuri na tunapenda hizo mambo.
Wee hawezi kufanya hiyo mikopo ya chupi, naona yupo kwenye saccos zinazotambulika rasmi za makazini
 
Wee hawezi kufanya hiyo mikopo ya chupi, naona yupo kwenye saccos zinazotambulika rasmi za makazini

Hujatujua wanawake vizuri wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wee hawezi kufanya hiyo mikopo ya chupi, naona yupo kwenye saccos zinazotambulika rasmi za makazini
Saccoss zipi za makazini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinikumbushee kisangaa cha binamu yangu wa kike.

Yaan mbavu sinaa hapaaa, woiiiiii
 
Haha hela mnapelekaga wapi mkichukua hiyo mikopo

Kwa lulu’s hair na ujinga mwingine wa kike wote na kuvimba kwa mashogare km tunazo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…