chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa.
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe fidia ya milioni kumi.
Maamuzi mabaya yanaligharimu taifa, piga hesabu TRA wanahangaika kukusanya fedha, inabidi zilipwe kwa ujinga wa mtu mmoja, serikali izikate kwenye mafao yake
Hakika ma-DC wa Jiwe wanaonja joto ya jiwe.