Vitendo vya Onesmo Buswelu vyaifanya Mahakama Kuu itoe fidia ya milioni 100

Vitendo vya Onesmo Buswelu vyaifanya Mahakama Kuu itoe fidia ya milioni 100

Sabaya anaadhibiwa na Wale Ndugu sababu yeye aliuangusha mwamba wa Kaskazini Mnowe na Chadema yake!

Visasi hivi vimeanzishwa na "Mbowe Gang" ila havitaisha leo wala kesho.....

Vitaendelea kadri siku zinavyosonga mbele!

Alimwangusha kwa lipi?. Wabunge nchi nzima wa CHADEMA waliibiwa Kura , Punguza unafiki.
 
Mlacha si ni mchaga pia?
Huyo sukuma gang mwenzenu kahukumiwa na mahakama sio na mtu binafsi, mlionea watu sana washamba wakubwa ninyi unaamuru mtu awekwe korokoroni siku tatu Hana kosa lolote mnahukumiwa kulingana na upumbavu wenu mnaanza kulialia
 
Kwa nini haya yote na yale ya Sabaya ni Moshi,Kilimanjaro pekee?
Ndiyo watu waliotoa taarifa kwa wepesi.Sehemu zingine nchini watu wanaongozwa na hofu mioyoni mwao na hawajatoa taarifa za kuonewa.Vilevile,yawezekana waliopewa taarifa wamezificha au kuwatisha watoa taarifa.
 
Back
Top Bottom