Kwa nini haya yote na yale ya Sabaya ni Moshi,Kilimanjaro pekee?Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa.
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe fidia ya milioni kumi.
Maamuzi mabaya yanaligharimu taifa, piga hesabu TRA wanahangaika kukusanya fedha, inabidi zilipwe kwa ujinga wa mtu mmoja, serikali izikate kwenye mafao yake
Hakika ma-DC wa Jiwe wanaonja joto ya jiwe.View attachment 2501218View attachment 2501220
Wanajua haki zao kuleKwa nini haya yote na yale ya Sabaya ni Moshi,Kilimanjaro pekee?
Sabaya anaadhibiwa na Wale Ndugu sababu yeye aliuangusha mwamba wa Kaskazini Mnowe na Chadema yake!Wanajua haki zao kule
Mh...hiyo hata haiji!!Sabaya anaadhibiwa na Wale Ndugu sababu yeye aliuangusha mwamba wa Kaskazini Mnowe na Chadema yake!
Visasi hivi vimeanzishwa na "Mbowe Gang" ila havitaisha leo wala kesho.....
Vitaendelea kadri siku zinavyosonga mbele!
Kamuulize yule mungu wenu jiwe aliyeasisi huu upumbavu kwa chuki yake kwa Wachaga.Kwa nini haya yote na yale ya Sabaya ni Moshi,Kilimanjaro pekee?
Wakati si mileleMkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa.
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe fidia ya milioni kumi.
Maamuzi mabaya yanaligharimu taifa, piga hesabu TRA wanahangaika kukusanya fedha, inabidi zilipwe kwa ujinga wa mtu mmoja, serikali izikate kwenye mafao yake
Hakika ma-DC wa Jiwe wanaonja joto ya jiwe.View attachment 2501218View attachment 2501220
Moshi ni mkoa gani, ni kwamba uko illiterate kiasi hicho au ni uzembe tu? Kilimanjaro na Moshi ni maeneo mawili tofauti kwa akili yako?Kwa nini haya yote na yale ya Sabaya ni Moshi,Kilimanjaro pekee?
Kwanini huyo Buswelu asilipe hizo milioni 100 mwenyewe serikali inaingiaje hapo ilimtuma kufanya huo upuuzi? Si ni ulevi wake tu wa madaraka? Mahakama itenganisha makosa binafsi na serikali, kwa hiyo pesa za walipa kodi akiwepo huyo mlalamikaji ndio itumike kwa upuuzi wa mtu moja? This is not logical at allMkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa.
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe fidia ya milioni kumi.
Maamuzi mabaya yanaligharimu taifa, piga hesabu TRA wanahangaika kukusanya fedha, inabidi zilipwe kwa ujinga wa mtu mmoja, serikali izikate kwenye mafao yake
Hakika ma-DC wa Jiwe wanaonja joto ya jiwe.View attachment 2501218View attachment 2501220
Serikali inabidi ikate rufaa, Hela zote alipe huyo DCKwanini huyo Buswelu asilipe hizo milioni 100 mwenyewe serikali inaingiaje hapo ilimtuma kufanya huo upuuzi? Si ni ulevi wake tu wa madaraka? Mahakama itenganisha makosa binafsi na serikali, kwa hiyo pesa za walipa kodi akiwepo huyo mlalamikaji ndio itumike kwa upuuzi wa mtu moja? This is not logical at all
Jikite kwenye mada iliyopo mezani weweeMlacha anapohukumu kesi ya Otaru.
Kwa sababu Kilimanjaro ni ngome ya Chadema hivyo uonevu na unyanyasaji ulikithiri Sana huko.Kwa nini haya yote na yale ya Sabaya ni Moshi,Kilimanjaro pekee?