Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Amekuomba umsaidie, au huna kazi za kufanyaa?
Wabongo bhanaa, kazi unayooo poleeeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umefanya vizuri kuchukia ushoga ila suala la huo upuuzi kukufanya uugue ukijilegeza sana utaelekea hukohuko kuwa mwanachama wa upinde
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nae Una maneno quntuuu kumbee lol
Unatakiwa uunge mkono hii kampeni ya kuukataa ushoga kwenye jamii yetu. Whether you like, or not!
 
Amekuomba msaada kwamba anataka kuacha? Au unataka kujifanya mwamba umsaidie
Anataka awe nae yeye, eti hadi anaumwa jaman khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaota wee DC hebu hangaika na files za wana kibaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo ID zitakuwepo sanaaaaa.
 
Huna kazi ya kufanyaa?? Haya yamesemwa sana na hakuna asiyejua, unapoteza muda wako bureeeee.
 
Ingekua rahisi hivyo kukaa nao nyumbani ingekua raha
Lakini ndio wazazi tunafundisha ila wakitoka kwenda mashuleni wakakutana na mambo mbalimbali
Hapana mie naamini mtoto akifunzwa na wazazi au walezi anaelewa, tatizo elimu ya ujinsia hamuwapi watoto wenu mnawaonea aibu, muwaambie ukweli.
 
Ila wewe huwa kajinga sana COET hainaga Wapumba.vu
Km had Jeshini huo upumbavu upo, sembuse COET??
Hivi anayewaambia gays hawawezi soma course ngumu au kufanya kazi za kutumia nguvu nani?? Mnashangazaa mnoo.Khaaaaa
 
kila siku mnajadili ushogaaa??? ndo ajendaa iliyobakiii Jf??
 
Km Gays kuishi kindoa, wanaishi sanaa.

Tena wanafunzi wa vyuo ndo km woteee, wanapakuanaa balaaa.
Ukiuliza tunabebana au tuna share chumbaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiih
Hongereni sana..
Inauma ila shetani anawapambania shoga angu hatuna cha kuwafanya.
Ringen mwaya.
 
Km had Jeshini huo upumbavu upo, sembuse COET??
Hivi anayewaambia gays hawawezi soma course ngumu au kufanya kazi za kutumia nguvu nani?? Mnashangazaa mnoo.Khaaaaa
Acha upu.mbavu aseeeh, Ushoga ni wakupinga kwa nguvu zote wewe hata mshua wako anaweza inamishwa ukabaki unachekacheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…