Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Siwezi kukupinga maana wewe ndiyo watoa kinyeo kwa hao wenye pesa ,mimi niliweka mtizamo wangu tu ila wewe ukatoa experience.
 
Acha upu.mbavu aseeeh, Ushoga ni wakupinga kwa nguvu zote wewe hata mshua wako anaweza inamishwa ukabaki unachekacheka tu
Km yeye ameamua kupumuliwa kisogoni, mie nani nipingee??
Ni mwili wake, anatumia anavyotakaaa. Uhuru ni wakee.
 
Siwezi kukupinga maana wewe ndiyo watoa kinyeo kwa hao wenye pesa ,mimi niliweka mtizamo wangu tu ila wewe ukatoa experience.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushapovukwaaaa, vipi nawe nikutafutiee basha mwenyee helaa?? Uwiiiiiih
 
Km yeye ameamua kupumuliwa kisogoni, mie nani nipingee??
Ni mwili wake, anatumia anavyotakaaa. Uhuru ni wakee.
Hahaaa umejibu
Kuna braza mmoja almanusura aniingize kwenye jamii ya upinde alichukulia hali yangu ya umaskini kama kigezo....kila nikimfikilia naishia kumtukana tu moyoni tu mamaee zake.
Tunaomba uelezee
 
Hapana mie naamini mtoto akifunzwa na wazazi au walezi anaelewa, tatizo elimu ya ujinsia hamuwapi watoto wenu mnawaonea aibu, muwaambie ukweli.

Sio majambazi wote magerezani hawakufundishwa kwamba ujambazi ni uhalifu
Wala sio mashoga na wasagaji wote hawakufundishwa kwamba hayo ni matendo yasiyofaa

Mungu atupe akili za rohoni kudeal na haya majanga
 
Naijua saikolojia ya wewe kupanick na kutukana!,😁
 
Hapana mkuu hao mabasha ukiwa nao wewe inatosha , mimi nina mke anytime nikihitaji "mfereji maringo" napata na wala sizibui "mitaro".
Haya relaaaaxx sasa,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio majambazi wote magerezani hawakufundishwa kwamba ujambazi ni uhalifu
Wala sio mashoga na wasagaji wote hawakufundishwa kwamba hayo ni matendo yasiyofaa

Mungu atupe akili za rohoni kudeal na haya majanga
Basi hapo hakuna namna, ni kuangalia itakavyokua na iwe.
 
Ningekuwa zama zile bado Sijaokoka ningemkunjua malinda tuone kama angerudia tena kusengeka![emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hata hapo wee mkunjue nae aokoke pia.
 
Jf sijui kwa nn mnamlea sana huyu choko. Nashindwa kuelewa kabisa
Unataka wakuleee wee mtalikiwa ulie bambikwa mtoto?? Na utakufa kwa presha mwaka huu, unalo hilo Nickson.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeee
 
Nilimwambia
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar
Kuna mbolea inayorutubisha hilo jambo.
 
Utandawazi unatusumbua sana. Na hawa Human Rights Watch wanatuletea mambo ambayo kwa culture zetu hatupaswi kuyaunga mkono. Tuwaombe viongozi wetu wa kiserikali wasiingie mkenge na kuruhusu ndoa za jinsia moja kuwa kama human right. Mungu atusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…