Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja kugundua kumbe kula ndogo ni kipaji na mtu anakua destinated kwa ajili ya hayo mambo na mimi sio mmoja wao.Yaan mkuu umefeli yaan anayechakata mbususu unamfananisha na anayechakatwa 0715
Wazinzi, waasherati, malaya, hawana ruhusa kuwahukumu mashoga.Salaam,
Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105
Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali
Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.
Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU
Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU
Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.
Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema
Mkuu ushoga uko kwenye kundi la uzinifu yaani shoga na mzinzi mbele ya mwenyezi mungu wana daraja moja.Imagine shoga nae anaitafuta haki sawa[emoji1787]
Kwahiyo waache kusema kisa wewe unahusika?. Ukiona hawasemi sema wewe kuhusu rushwa.....!!Tanzania mngekuwa mnapigia kelele rushwa kama mlivyoshupalia ushoga tungekuwa mbali sana
Jamaa yuko sawa kabisa ushoga iko kwenye kundi la wazinifu na ndio maana kwenye amri kumi za mungu hakuna sehemu inayo sema usimfanye ushoga, bali inasema usizini ina maana mashoga wamewekwa kundi moja na wazinzi.Kwahiyo uzinzi na ushoga ni kitu kimoja![emoji15][emoji15]
Hauko serious mkuu.
Wewe unaufanya huo ushoga?.Jamaa yuko sawa kabisa ushoga iko kwenye kundi la wazinifu na ndio maana kwenye amri kumi za mungu hakuna sehemu inayo sema usimfanye ushoga, bali inasema usizini ina maana mashoga wamewekwa kundi moja na wazinzi.
Hapa duniani ushoga anaweza onekana ni mtu muovu ukilinganisha na mzinifu lakini mbele ya mungu madaraja yao yako sawa nikiwa na maana kuwa adhabu atayo pata shoga ndo hiyo hiyo atayo pata mzinzi.