Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Zambi hutofautiana,Zambi nyenginezo ni hatari hata kwa afya yako kabsa tena ina athari za mapema mfano pombe ndio Zambi kubwa maana ukinywa ,utazini au kulawiti,kuiba,kunyonga n.k

Ushoga ni dhambi kubwa ambayo ilifanya hata kaimu ya Nuhu kupinduliwa juu chini,haiwezi kufosi maumbile na matumizi.
 
Kama ushoga ni sawa na uzinzi wa kawaida wewe unaufanya?. Maana kusapoti kitu usichokifanya no unafiki wa kiwango kikubwa sana.
Dunian dhambi ni Moja tu hayo mengine yoote ni matokeo ya dhambi Hiyo ambayo ni kuishi kinyume na maagizo yale.
Msikomae tu ushoga mkapotezea uzinzi kana kwamba hauna madhara na unapoandika punguza mihemko babu.
 
Kazi kwao wanaojidanganya kuwa wataiona pepo wakati nafsi zao zinawasuta.
Mie nafsi yangu inaniambia kabisa mzabzab wee ni motoni moja kwa moja maana jtendayo ni kinyume na maagizo ya muumba wako.
Kuna mtu haamini katika dini, ila ushoga anaupinga, anakwambia amemzaa mwanawe wa kiume, akitemea kuwa mwanamme.

Alafu mzazi huyo huyo asiemini katika dini, anafurahi sana anaposhuhudia binti yake, akipata mwenza.
 
Salaam,

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105

Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali

Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.

Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU

Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU

Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.

Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema
Mimi naamini dhambi sio zote sio Sasa ktk gravity na consequently effect. Pia punishment zake hazilingani. This both logically and faithwise
 
Salaam,

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105

Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali

Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.

Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU

Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU

Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.

Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema
Wewe endelea kufokolewa mavi kwa Raha zako
 
8547C248-2578-436A-B1AC-ACBDB8036D38.jpeg
 
Kwenye uafrica bora muuaji kuliko shoga .Africa sio ya kiislamu wala kikristo ni ya kiafrica
 
Back
Top Bottom