Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Nimeshangaa mpaka wameamua waweke platform tupige kura,kwamba Jamiiforums management wameshindwa kwa kauli moja kusema kwamba "hili jambo ni nuksi halifai hapa nchini kwetu" mpaka waweke kitufe cha mashoga kusema wanataka wasiotaka ushoga waseme hawataki.



Ajabu sana
 
Ni mambo ambayo yapo katika jamii, sasa tufanyeje kuyakomesha? Hutaki ujue kwamba ushoga upo? Ila za kuchochea ushoga ziondolewe. Mimi nataka nijue ushoga umefikia kiwango gani! JF iseme kila kitu kinachotokea katika jamii na ushoga ni sehemu yake.
 
Dunia inapo elekea nikugumu sana

Hili la Ushoga upande wangu naliona lina Kua kwa kasi sana.

Kuna Ushoga Wamoja kwa moja na Kuna Ushoga wa mwanaume kujipa Uanamke.

Ipo hivi Mfano humu Jamiiforums Unakuta Mwanaume Kajipa Id ya Kike! huyu naye Nishoga kama mashoga wengine

Unakuwaje Mwanaume na Kujipa Id ya Kike?
Kwanza Umefanya Kufikiria vizuri!?

Je Unatofauti gani na Yule Aliye Vaa nguo za Kike?

Hivi unawezaje Kutoa Kauli kali kwa mtu aliye vaa Nguo ya kike na kupaka Wanja lips nk
ikiwa wewe umeweka Id ya kike na Kuweka kabisa Frofile ya kike?

Mwanaume Unapinga Ushoga Na Una Id ya kike kisha Unatongozwa Pm na Kujipa Kila Aina ya Umwanamke kweli!!
Mambo ya Kijinga huanzia Mbali Kidogo kidogo ndio unakuwa Shoga kweli kweli

maana Unakuwa Na Id ya kike kisha Unamuomba Pesa Mwanaume
unapanga kwenda Kwake tena Unaongea nakila aina ya Umwanamke kweli!!

Mwanamke awe Mwanamke na mwanaume Awe Mwanaume.
 
Tunapoelekea na hizi sledi ni hatari.Everybody should have been suspicious of anybody!Itafika muda tutakataana wote.
 
Hao ni vichwa maji hata usemeje wataibuka na mada nyingine. Hivi ushoga ni ishu ya kujadiliwa na watu wenye akili timamu kweli? Mbona mashoga yapo muda mrefu tu, tena yalikuwa yanajitokeza waziwazi kwenye burudani za muziki na mengine kuhojiwa kwenye media hatukuona uvumi huu? Imekuwa kero na aibu kuzungumzia faragha za watu wazima mbele ya watoto wadogo wasijua ushenzi huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…