Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Ukweli ni kwamba ushoga kwetu iwe ni kama vita vya ugaidi..tupaze sauti
Amna attachment
Hawezi kua nayo sasa[emoji28][emoji28]Uyo mzungu akamatwe na yeye atolewe malinda
Ndo mn sipatanagi na pafyumu kubabeki ndio sipulizii tena
Dada huyu apewe ulinzi kwakwel
Hawa watu wamedhamiriaNimeangalia hiyo video nimeshtuka sana sasa serikali inangoja nini?
Hutakiwi kumzuia mtu zuia mfumo mzmaUyo mzungu akamatwe na yeye atolewe malinda
Eee mbna unanitia shaka hiviTumewachoka na stori zenu za ushoga.
Kama mtu anafirwa muacheni afirwe, fanyeni kaziiiiiii