General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Kumbe chanzo cha kuongezeka ushoga imeshajulikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣mbna kitambo...sana hii inajulikana ni camouflageDah ubaunsa sio dili tena umeshasagiwa kunguni [emoji23]
Mmh [emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]Huyu Dada ni mwehu sijawahi ona, hiyo spray ya Axe ndio inabadilisha hormone....
Anawaharibia wamasai wa watu kaz kwa upumbavu wake
Too emotional and senseless Jinga sana .. labda wapumbavu wenzake
Hapo ni kuingia chimbo tu kufanya research perfume inaweza kufanya hormone imbalance kujihakikishiaKumbe chanzo cha kuongezeka ushoga imeshajulikana.
mbona unatia sana wasiwasiTumewachoka na stori zenu za ushoga.
Kama mtu anafirwa muacheni afirwe, fanyeni kaziiiiiii
Huyu hii kazi alitumwa na nani? Nani anamlipaTukiwaambia Mwakyembe alikuwa anajua anachoongea, wengine wavivu kufikiri mnampinga na siasa maji taka.
Sikilizeni ushahidi mwingine huu halafu connect dots mwenyewe.
View attachment 2569296
Niliwahi kusoma mahali hii kitu kumbe ni kweli, kwamba wacheza mieleka wengi ni mchicha mwiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbna kitambo...sana hii inajulikana ni camouflage
Kakwambia alimconsult naibu waziri.....Pili hizo spray zimeingia kimagendo kosa hili piaHuyu Dada ni mwehu sijawahi ona, hiyo spray ya Axe ndio inabadilisha hormone....
Anawaharibia wamasai wa watu kaz kwa upumbavu wake
Too emotional and senseless Jinga sana .. labda wapumbavu wenzake
Wanaoitwa wahisani wanajilipa malinda.Tukiwaambia Mwakyembe alikuwa anajua anachoongea, wengine wavivu kufikiri mnampinga na siasa maji taka.
Sikilizeni ushahidi mwingine huu halafu connect dots mwenyewe.
View attachment 2569296
Ukiwa mwandishi ethics zinaruhusu kufanya research ili taarifa yako ijitoshelezeHuyu hii kazi alitumwa na nani? Nani anamlipa
Huenda hata hayo marinda alishaga yapoteza siku nyingiUyo mzungu akamatwe na yeye atolewe malinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu Dada ni mwehu sijawahi ona, hiyo spray ya Axe ndio inabadilisha hormone....
Anawaharibia wamasai wa watu kaz kwa upumbavu wake
Too emotional and senseless Jinga sana .. labda wapumbavu wenzake
Mm huwa nawasiwasi sana hata na haya mauzazi ya mpango ila mungu anisameheSikuelewa kwa nn watu kwenye uzi ule mwingine walikua wanamshambulia Mwakyembe badala ya hoja... hv vitu vinakua kwa kasi sana...tatizo sio ushoga ila tatizo ni watu kuingizwa kwenye ushoga bila utashi wao/yani bila wenyewe kupenda...na mbaya zaid usipostuka utakuta na ww ushaingia uko....tujiulize swali moja,ni kwa nini siku hzi tatizo la nguvu za kiume linakua kwa kasi??n thn tutafakari ....hii kampeni ya kuingiza watu kwenye ushoga ni kubwa zaid ya tunavyodhan....hii inaenda kuwa zaid ya drug cartels
Unafuata maudhui au personality ya mtu ......nyie watu ndio mnatutia mashaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu kajichubua kawa mwekundu kama tuzi ya panya.
Mchunguzi mwenyewe ni mentally retarded. Huwezi kuwa na akili timamu ukajikoboa sura ukawa mithili ya TUZI.
Tatizo ni kwamba hawajui wanacho report na pia audience hawajui kwamba wanadanganywa kwa kiasi gani, too sad.Mjinga sana huyu mchunguzi uchwara aliyejikoboa uso kawa kama TUZI.
Tangu lini pafyumu ikaongeza hormone bwana!! [emoji1787][emoji1787] analeta conspiracy theories za kubumba anafikiri watu wote machizi!
Kwanza kabisa ni mentally retarded. Huwezi kujichubua juso likawa kama TUZI YA PANYA.
Wameongozana na hako kagenge chao cha kupinga vinyesi wanawahadaa watanganyika kwa stori za kuokoteza wakisaidiwa na kiranja wao ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
Pamoja na yote, huwezi kuwa na akili timamu ukajichubua JUSO LOTE likawa jekundu kama TUZI YA PANYA.Unafuata maudhui au personality ya mtu ......nyie watu ndio mnatutia mashaka