LorenzoA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,889
- 17,753
Issue ya zamani mno...Dah ubaunsa sio dili tena umeshasagiwa kunguni [emoji23]
Issue ya zamani mno...Dah ubaunsa sio dili tena umeshasagiwa kunguni [emoji23]
Hakuna cha vita kubwa hapo, ujinga mtupu. Vita kubwa ya vinyesi uliona wapi bwana, porojo za kitoto hizi.Duuh,Yan hii vita ni Kubwa
Yeye mwenyewe ameshindwa kuji protect amejikoboa JUSO LAKE KAWA KAMA TUZI YA PANYA.We must protect her at all cost
Mimi ni BICHWA KOMWE.Sorry wew ni mwanaume au mwanamke?..
Mjinga sana huyu mchunguzi uchwara aliyejikoboa uso kawa kama TUZI.
Tangu lini pafyumu ikaongeza hormone bwana!! [emoji1787][emoji1787] analeta conspiracy theories za kubumba anafikiri watu wote machizi!
Kwanza kabisa ni mentally retarded. Huwezi kujichubua juso likawa kama TUZI YA PANYA.
Wameongozana na hako kagenge chao cha kupinga vinyesi wanawahadaa watanganyika kwa stori za kuokoteza wakisaidiwa na kiranja wao ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
🤔🤔🤔 Hata mimi nime sense kitu
Wewe bila shaka utakua shoga nahisi, huwezi kuelewa haya maana hauna uchungu wa kuwa baba au kuwa na mke ungekua hata na mtoto ndo usingeandika ujinga ujinga hapa bahati mbaya huna kizazi na marinda itakua huna ungekua na uwezo wa kuwa na watoto halafu uambiwe mwanao ni shoga ndo ungeelewa lakini uwezo wa kuwa na watoto huna na hautokua nao utaishia kufa mwenyewe tu ukiwa shoga tena mgumbaTumewachoka na stori zenu za ushoga.
Kama mtu anafirwa muacheni afirwe, fanyeni kaziiiiiii
Ni wakati wa kuchukua hatua sio muda wa kuchekacheka leo nilikua naongea na mke wangu ni marufuku kwa watoto wakitoka shule kuangalia katuni au maudhui ya kijingajinga kwenye tv lazima hili jambo tuanzie majumbaniTumepiga kelel sana humu JF ,Sanaa tuuu.
Lkn mnaona Sasa tulipofikia??tukicheka na Hawa watu, Taifa Zima litalaaniwa kisa wao.
Nina mashaka na weweHuyu Dada ni mwehu sijawahi ona, hiyo spray ya Axe ndio inabadilisha hormone....
Anawaharibia wamasai wa watu kaz kwa upumbavu wake
Too emotional and senseless Jinga sana .. labda wapumbavu wenzake
Hii kitu kuna watu wazito wako behind
Aseee ni noma zaidi ya drug cartel
Sasa wewe mchele bwabwa, utanishauri nini nisichokijua kuhusu ushoga?Wewe bila shaka utakua shoga nahisi, huwezi kuelewa haya maana hauna uchungu wa kuwa baba au kuwa na mke ungekua hata na mtoto ndo usingeandika ujinga ujinga hapa bahati mbaya huna kizazi na marinda itakua huna ungekua na uwezo wa kuwa na watoto halafu uambiwe mwanao ni shoga ndo ungeelewa lakini uwezo wa kuwa na watoto huna na hautokua nao utaishia kufa mwenyewe tu ukiwa shoga tena mgumba
YapUbalozi wa pale Msasani au??
Pumbafu inaonekana huna mtoto weeeTumewachoka na stori zenu za ushoga.
Kama mtu anafirwa muacheni afirwe, fanyeni kaziiiiiii
Hujiulizi kwanini kila mada anadili na personality attacks kwa aliyeleta ushahidi halisi juu ya USHOGA?Hata mimi nina wasiwasi naww ndg[emoji38][emoji38][emoji38]
Sjui unacheka nn?Dah ubaunsa sio dili tena umeshasagiwa kunguni![]()
Msifikie huko Ndugu bado sote ni wa-TZ.Sasa wewe mchele bwabwa, utanishauri nini nisichokijua kuhusu ushoga?
Na nilishakuambia, pale UBUNGO KIBANGU unapokaa tunapajua, na ukileta mbambamba utashughulikiwa mysteriously.
1. Kosa la kwanza ni kumkejeli na kumtusi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia WhatsApp na Jamiiforums.
2. Kosa la pili ni Kutumia Laini iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine.
3. Kosa la tatu ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwa nyakati tofauti tofauti na watu tofauti tofauti maeneo ya Ubungo Riverside Kibangu.
4. Kosa la nne ni kusambaza maudhui ya kingono kwenye mtandao wa WhatsApp kwa nyakati tofauti tofauti.
Nakupa ONYO na INDHARI. Ukiendelea, mimi mwenyewe nitazi-forward hizi taarifa mahali husika.
Acha ujinga wewe, kwanini huu upuuzi ushamiri nyakati hizi tu?This is far fetched.
Kwanza ijulikane estrogen (female hormone) hata wanaume wanazo naturally and vyakula vya Kila siku vina ongeza estrogen kwa wanaume na bado wengi tu sio mashoga. Haiwezekani a one time dosage tena ya toothpaste na perfume imfanye mtu awe shoga. Haiwezekani. Halafu wewe mwanaume na ndevu zako unakubali zawadi ya perfume na toothpaste kweli? It will take a truckload of it kumgeuza mtu awe shoga.
Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?
Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No more, no less. Msikimbie majukumu yenu. Mashoga wengi wameanza hii michezo majumbani mwao sio shuleni wala sehemu nyingine.
Kila research Ina agenda yake sijui huyu dada agenda yake ni ipi. Itakua kasoma upepo kaona mitanganyika inapenda story za ushoga kajiongeza.