Sikuelewa kwa nn watu kwenye uzi ule mwingine walikua wanamshambulia Mwakyembe badala ya hoja... hv vitu vinakua kwa kasi sana...tatizo sio ushoga ila tatizo ni watu kuingizwa kwenye ushoga bila utashi wao/yani bila wenyewe kupenda...na mbaya zaid usipostuka utakuta na ww ushaingia uko....tujiulize swali moja,ni kwa nini siku hzi tatizo la nguvu za kiume linakua kwa kasi??n thn tutafakari ....hii kampeni ya kuingiza watu kwenye ushoga ni kubwa zaid ya tunavyodhan....hii inaenda kuwa zaid ya drug cartels
Kuna watu wanaoingia kwa kushawishiwa na wanalipwa pesa yaani goodlife kuna watu kazi yao kueneza na kusambaza huu ushetani most wanajuta kujiingiza maana kutoka ni ngumu.
Kuna dada nilikutana naye pale samaki samaki alikua ananiangalia sana, tunagongana macho anabadili muelekeo kama anaona aibu. Nikamwita waiter nikamwomba aniitie yule dada kweli akaja. Dada ni pisi kali mrembo mweupe alikua na macho mazuri sana yule dada.
Nilivyomwangalia vizuri nikaona kama hayuko sawa uzuri hawa watu mimi nikimwona tu hivi najua. Nikamwuliza jina akanitajia unaishi wapi? Akanambia masaki hapahapa. Nikamwuliza na uzuri wote huu ulionao upo alone?? Akacheka.
Nikamwambia direct wewe ni Lesbian akacheka labda niwape mbinu jinsi ya kumtambua Lesbian huwa hawana confidence ya kumtizama mwanaume machoni wengi hawana confidence kabisa na macho yao huwa hayatulii. Akiwa na mwanaume kama anakosa uhuru.
Akaniuliza kwanini umesema hivo? Nikamwambia tena wewe ni Lesbian huku namkazia macho akanijibu Yes I am. Nikamwuliza una mda gani toka umeanza hivo akanambia ana 2yrs. Nikamwuliza uliingiaje?? Ndo dada kuanza kufunguka.
Alipata kazi kwenye internationaal organization hapa dsm moja ya masharti ilikua lazima awe anatambua uwepo wa LGBTQ. Ananambia alianza kama kazi ya kuempower women na walikua wanawaambia waachane na wame zao afu wanawalipa pesa anasema wanawake wengi walinasa.
Dada anasema baadae akaambiwa ajihusishe na usagaji ambapo alipewa offer ya dau kubwa kutokana na uzuri alionao ingekua rahisi kushawishi watu. Dada akakubali ndo mpaka leo. Dada anasema hatamani kabisa mwanaume kwa sasa.
Akaendelea kunambia hapa kuna dada nimemwona nimetamani na lazima niondoke naye, ofcoz nilishangaa sana. Akanambia namwita yule dada afu naongea naye ananambia wengi akiwaambia 300k hawachomoi kwa mgumu anaweza panda mpaka 1m. Anasema wachache sana ambao wanachomoa, kama hawa watoto wa chuo asilimia kubwa washaharibika.
Anakwambia kuna hizo dildo special akizitumia kwa mwanamke zitamfanya mwanamke asimtamani tena mwanaume. Na wengi tayari wanazitaka na huwa anawapa bure na wanawake wengi now ni ma lebs sio celebrities mpaka viongozi wakubwa wa nchi alinambia hao watu sikuamini kwakweli.
Alinambii kuna mtandao mkubwa sana ambao hadi viongozi wa nchi wanahusika ni ngumu sana kuuharibu bila serikali kuchukua hatua. Kuna baadhi ya shule pia zinalipwa hizi za nursery tuwe makini sana wazazi na watoto wetu.
Akanambia mpaka wanaume ipo hvo wanachukuliwa kwaa ajili ya kuwafanya wanaume wenzao mwisho wa siku na wao wanageuzwa ndo hawa tunawaite mchicha mwiba. Nikamwambia kama anaweza kujitoa huko akanambia ni ngumu ameshadedicate maisha yake na hao watu kama akijitoa anaweza poteza kila kitu au kufa. Ukiingia ni ngumu kutoka.
Dada anagari kali range, ananyumba kali mbweni bonge la mjengo ila anakwambia kiukweli hana furaha ya maisha kabisa. Ndomana hawa watu maisha yao ni ya starehe na bata maana wengi wanajuta kula starehe ndo sehemu pekee ya kupoteza mawazo.
Nikamshawishi nikamgonge maybe ataweza anza pata hisia na wanaume akanipa sharti pia lazima nitumie dildo bila hilo hawezi pata hisia kabisa. Nikachukua namba yake ya simu ila sijawai kumtafuta kabisaa mtu kama uyo anaweza kukupa mikosi na nuksi.
Ila alikua anajuta sana, Serikali ichukue hili jambo serious maaana tunapoteza taifa la kesho. Serikali itoe tamko kama Uganda walivyotamka. Maana wanaoratibu ni jamaa wa pale msasani na organization zao.