Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kwa hakika si wote ni kweli kabisa na hilo liko wazi lakini ndio hivyo tayari wameshatajwa hivyo wanapaswa kujitokeza hadharani na kusema neno
Hawawezi kujitokeza kupinga ila wengi wako hivyo japo wengi kufanya hivyo sio kutaka ila walijikuta tayari sababu ya vidonge vya kujaza miili wanavyotumia .

Ukweli cha mzungu hakiishi ushamba ila pia tujifunze kufuatilia vitu vipya kabla ya kuiga .

Ukipenda mwili basi fanya mazoez uupate sio kumeza mavidonge ya ptotein yatawapoteza
 
Ni wakati wa kuchukua hatua sio muda wa kuchekacheka leo nilikua naongea na mke wangu ni marufuku kwa watoto wakitoka shule kuangalia katuni au maudhui ya kijingajinga kwenye tv lazima hili jambo tuanzie majumbani
Wee nae Una familia?? Makubwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wanaoingia kwa kushawishiwa na wanalipwa pesa yaani goodlife kuna watu kazi yao kueneza na kusambaza huu ushetani most wanajuta kujiingiza maana kutoka ni ngumu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa haya tenaaaa.
 
Hawawezi kujitokeza kupinga ila wengi wako hivyo japo wengi kufanya hivyo sio kutaka ila walijikuta tayari sababu ya vidonge vya kujaza miili wanavyotumia .

Ukweli cha mzungu hakiishi ushamba ila pia tujifunze kufuatilia vitu vipya kabla ya kuiga .

Ukipenda mwili basi fanya mazoez uupate sio kumeza mavidonge ya ptotein yatawapoteza
wengi kufanya hivyo sio kutaka ila walijikuta tayari sababu ya vidonge vya kujaza miili wanavyotumia .[emoji3064][emoji848]
Hii fact haijulikani kwa wengi hata mimi sikuwahi kuiwazia.. Kumbe ndio maana wengi wanalaumiwa kuwa nusu kaput kitandani
 
Hawawezi kujitokeza kupinga ila wengi wako hivyo japo wengi kufanya hivyo sio kutaka ila walijikuta tayari sababu ya vidonge vya kujaza miili wanavyotumia .

Ukweli cha mzungu hakiishi ushamba ila pia tujifunze kufuatilia vitu vipya kabla ya kuiga .

Ukipenda mwili basi fanya mazoez uupate sio kumeza mavidonge ya ptotein yatawapoteza
Kwamba vile vidonge wanavyomeza ili wawe mbavu mwisho vinawegeuza mapunga?

Amma,hii mpya hii kuna jamaa zamani nikifanya nae mazoezi maeneo ya Magomeni Makuti alipenda sana haya mavidonge kumbe ndiyo maana mambo yake nilikuwa siyaelewi elewi!
 
Kaka Mshana Jr , unadhani nini hasa lengo la hii kampeni ya mwakyembe? Kutakuwa na suluhisho lolote au ni taarifa tu tumepewa tusiokuwa tunajua tujue halafu ipite?
Ni kampeni ya vikundi vikundi haina impact kivile.. Mikwara ni mingi sana lakini naifananisha na joka la mdimu ama joka la kibisa... Serikali ndio inapaswa itoke hadharani kukemea, kulaani na kuukataa ushoga, kitu ambacho sidhani kama kitawezekana
 
Back
Top Bottom