Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Natamani dada Kamala akija TZ aseme maneno kama haya ili nione reaction ya wabongo 😅Ni kampeni ya vikundi vikundi haina impact kivile.. Mikwara ni mingi sana lakini naifananisha na joka la mdimu ama joka la kibisa... Serikali ndio inapaswa itoke hadharani kukemea, kulaani na kuukataa ushoga, kitu ambacho sidhani kama kitawezekana