Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kuna watu wanaoingia kwa kushawishiwa na wanalipwa pesa yaani goodlife kuna watu kazi yao kueneza na kusambaza huu ushetani most wanajuta kujiingiza maana kutoka ni ngumu.

Kuna dada nilikutana naye pale samaki samaki alikua ananiangalia sana, tunagongana macho anabadili muelekeo kama anaona aibu. Nikamwita waiter nikamwomba aniitie yule dada kweli akaja. Dada ni pisi kali mrembo mweupe alikua na macho mazuri sana yule dada.

Nilivyomwangalia vizuri nikaona kama hayuko sawa uzuri hawa watu mimi nikimwona tu hivi najua. Nikamwuliza jina akanitajia unaishi wapi? Akanambia masaki hapahapa. Nikamwuliza na uzuri wote huu ulionao upo alone?? Akacheka.

Nikamwambia direct wewe ni Lesbian akacheka labda niwape mbinu jinsi ya kumtambua Lesbian huwa hawana confidence ya kumtizama mwanaume machoni wengi hawana confidence kabisa na macho yao huwa hayatulii. Akiwa na mwanaume kama anakosa uhuru.

Akaniuliza kwanini umesema hivo? Nikamwambia tena wewe ni Lesbian huku namkazia macho akanijibu Yes I am. Nikamwuliza una mda gani toka umeanza hivo akanambia ana 2yrs. Nikamwuliza uliingiaje?? Ndo dada kuanza kufunguka.

Alipata kazi kwenye internationaal organization hapa dsm moja ya masharti ilikua lazima awe anatambua uwepo wa LGBTQ. Ananambia alianza kama kazi ya kuempower women na walikua wanawaambia waachane na wame zao afu wanawalipa pesa anasema wanawake wengi walinasa.

Dada anasema baadae akaambiwa ajihusishe na usagaji ambapo alipewa offer ya dau kubwa kutokana na uzuri alionao ingekua rahisi kushawishi watu. Dada akakubali ndo mpaka leo. Dada anasema hatamani kabisa mwanaume kwa sasa.

Akaendelea kunambia hapa kuna dada nimemwona nimetamani na lazima niondoke naye, ofcoz nilishangaa sana. Akanambia namwita yule dada afu naongea naye ananambia wengi akiwaambia 300k hawachomoi kwa mgumu anaweza panda mpaka 1m. Anasema wachache sana ambao wanachomoa, kama hawa watoto wa chuo asilimia kubwa washaharibika.

Anakwambia kuna hizo dildo special akizitumia kwa mwanamke zitamfanya mwanamke asimtamani tena mwanaume. Na wengi tayari wanazitaka na huwa anawapa bure na wanawake wengi now ni ma lebs sio celebrities mpaka viongozi wakubwa wa nchi alinambia hao watu sikuamini kwakweli.

Alinambii kuna mtandao mkubwa sana ambao hadi viongozi wa nchi wanahusika ni ngumu sana kuuharibu bila serikali kuchukua hatua. Kuna baadhi ya shule pia zinalipwa hizi za nursery tuwe makini sana wazazi na watoto wetu.

Akanambia mpaka wanaume ipo hvo wanachukuliwa kwaa ajili ya kuwafanya wanaume wenzao mwisho wa siku na wao wanageuzwa ndo hawa tunawaite mchicha mwiba. Nikamwambia kama anaweza kujitoa huko akanambia ni ngumu ameshadedicate maisha yake na hao watu kama akijitoa anaweza poteza kila kitu au kufa. Ukiingia ni ngumu kutoka.

Dada anagari kali range, ananyumba kali mbweni bonge la mjengo ila anakwambia kiukweli hana furaha ya maisha kabisa. Ndomana hawa watu maisha yao ni ya starehe na bata maana wengi wanajuta kula starehe ndo sehemu pekee ya kupoteza mawazo.

Nikamshawishi nikamgonge maybe ataweza anza pata hisia na wanaume akanipa sharti pia lazima nitumie dildo bila hilo hawezi pata hisia kabisa. Nikachukua namba yake ya simu ila sijawai kumtafuta kabisaa mtu kama uyo anaweza kukupa mikosi na nuksi.

Ila alikua anajuta sana, Serikali ichukue hili jambo serious maaana tunapoteza taifa la kesho. Serikali itoe tamko kama Uganda walivyotamka. Maana wanaoratibu ni jamaa wa pale msasani na organization zao.

Source: Trust me Bro 🤣
 
Ushoga upo tangu enzi za Sodoma na gomola. sasa ww unafactor zipi za kuongezeka miaka michache ijayo
Vijana wanajishangaa baina yao.
Kila Generation inakuwa na vitu kama hivi hawa ni wa 2000's
Walakin, tofauti sasa ni kuwa yapo waziwazi .
 
Kuna watu wanaoingia kwa kushawishiwa na wanalipwa pesa yaani goodlife kuna watu kazi yao kueneza na kusambaza huu ushetani most wanajuta kujiingiza maana kutoka ni ngumu.

Kuna dada nilikutana naye pale samaki samaki alikua ananiangalia sana, tunagongana macho anabadili muelekeo kama anaona aibu. Nikamwita waiter nikamwomba aniitie yule dada kweli akaja. Dada ni pisi kali mrembo mweupe alikua na macho mazuri sana yule dada.

Nilivyomwangalia vizuri nikaona kama hayuko sawa uzuri hawa watu mimi nikimwona tu hivi najua. Nikamwuliza jina akanitajia unaishi wapi? Akanambia masaki hapahapa. Nikamwuliza na uzuri wote huu ulionao upo alone?? Akacheka.
Mkuu nimekuelewa sana ulichoandika, Hali ni mbaya sana kwa sasa na tuseme tu ukweli hawa watu wamefika mbali sana kwa kweli,
 
Kwa hili ushoga na usagaji imenifanya sasa nawakstaa hawa nchi za magaribi na mshitika wao Marekani,

Haiwezekani niisapoti nchi inayoeneza ushetani

Kuna jambo kubwa halipo sawa kwao
 
Mm huwa nawasiwasi sana hata na haya mauzazi ya mpango ila mungu anisamehe
Pia inawezekana lkn kitu kingine ni zile products zinazokuja km virutubisho km forever,gnld na nyngnezo hizi currently especially zinazodaiwa kuongeza nguvu za kiume,ni tatizo sana....
 
Pamoja na yote, huwezi kuwa na akili timamu ukajichubua JUSO LOTE likawa jekundu kama TUZI YA PANYA.

Mchunguzi wetu huyu wa vinyesi ni MENTALLY IMPAIRED, in which case, hayo yote aliyoyasema yanakuwa NULL AND VOID AB INITIO.

Na jinsi alivyo chizi zaidi, anawahadaa watu kwamba pafyumu inaongeza homoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilipomuangalia tu lile JUSO LAKE alivyojikoboa KAMA TUZI YA PANYA nikajua shida iko.
Hiii ni case study hence verified rainbow
 
Mkuu nimekuelewa sana ulichoandika, Hali ni mbaya sana kwa sasa na tuseme tu ukweli hawa watu wamefika mbali sana kwa kweli,

Hali ni mbaya mtandao alionitajia dada ni mkubwa 90% ya celebrities wnahusika. Kilichoniuma kunitajia ndugu yetu Jux kashaleft group muda sana. Sikuamini kabisa ilibd nianze research zangu nikaja fahamu 100% ni kweli.

Hali ni mbaya sana.
 
Salaam,

Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu, Kwa Imani Mimi ni mkristo napenda kuchimba sana kwenye Biblia maana naamini kabisa ni neno la MUNGU -Zaburi 119:105

Sasa Kuna watu naona wapo mstari wa mbele kupinga ushoga na hata kutaka mashoga wauawe kana kwamba uasherati na uzinzi wao sio tatizo. Watu wanajisifu kulana kimasihara, kula wake za watu kushindana ni nani kalala na idadi kubwa ya wanawake na anaona ni ufahari kabisa ila anapinga ushoga kana kwamba dhambi zake yeye ni halali

Sitetei tabia ya ushoga ila ninachotaka kusema ni kwamba dhambi ni dhambi na usifikiri dhambi yako wewe ni nzuri ila ya mwenzio ndio mbaya.

Kwa wale wenzangu ambao ni wasomaji wa Biblia turejee 1Korintho 6:9,10 dhambi zote hizo ni chukizo Kwa Muumba wetu na kila anayezifanya hataingia kwenye ufalme wa MUNGU

Rejea pia Galatia 5:19-21 kuhusu matendo ya mwili ambayo ni chukizo mbele za MUNGU

Hivyo basi ikiwa tunataka kuwa watu safi mbele za Muumba wetu mtakatifu tuache na pia tukemee dhambi zote hizo bila kubagua vinginevyo ni kwamba anayesema wema ni uovu na anayesema uovu ni wema wote hao ni chukizo mbele za MUNGU.

Amani iwe nanyi, muwe na jioni njema
[emoji625]
JamiiForums100616734.jpg
 
Na wewe naona unapumiuliwa .hivi hujuwi dhambi hii shetani anakaa pembeni kabisa.na unapofanya kitendo hiki hata miti inainama chini kwa masikitiko,hivi ujiulizi Kwa nn gomora ilitiwa kiberiti
Shetani mnaonaga wapi nyie watu [emoji849]
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?[emoji24][emoji24][emoji24]

Ushoga sio jambo geni kbs dunia

Lilikuepo enzi na enzi ni moja ya dhambi kongwe

Mpaka Mungu alishusha gharika kwa vitu kama hiv

Tofauti ni sasahivi ushoga umefanywa mjadala+social networks ndo maana tunaona umeongezeka lakini sizani
 
Hatukatai sio jipya ila isiwe sababu ya kuliona na kulichukulia la kawaida mana km wewe ni mwanaume kweli kuguswa Tako lazima pachimbike baaasi hili jambo sio kawaida na sio vumilivu.
 
Ushoga hauzuiliki tena kujadiliwa. Ni jambo geni bovu na baya kabisa kwenye jamii za kiafrika. Ni utamaduni Uliojaa kinyaa
Uliojaa fedheha
Uliojaa aibu
Uliojaa dhihaka
Uliojaa kila aina ya upuuzi
Mijadala ni mingi mitandaoni ya kupinga na ya kukubaliana na huu ushenzi

Huwezi kuelewa fadhaa, athari na maumivu ya ushoga kama huna mtoto wa kiume ama huna ndugu aliyeangukia huko. Hakuna namna unaweza kulitetea hili na kusema ni kizalia, wala kusema ni tatizo la maumbile.. Ushoga ni tatizo la kutengezwa na halipaswi kupewa nafasi ndani ya jamii iliyostaarabika.

Watengeneza hili tatizo wana mipango kabambe kweli
Walilingiza kwa watu maarufu
Wakaliingiza kwa vijana
Wakaliingiza kwa wanamichezo
Wakaliingiza kwa wasanii
Wakaliingiza kwa watu wenye ushawishi kwenye jamii
Wanachuo vyuoni, wanafunzi shuleni, wafanyakazi makazini, vijiweni na hata bodaboda wote hawa hawajaachwa kwenye hili jambo baya kabisa

Kuna hili kundi lingine pendwa kwenye jamii. Wanaume wenye mazoezi ya mwili waliojazia maarufu kama mabaunsa. Vijana usiku na mchana wako kwenye vyumba vya mazoezi maarufu kama Gyms wakitengeneza miili ili wapendeze na kuvutia. Mambo ya six packs. Jamii iliyokuwa ikiwaamini sana kama wanaume ngangari kumbe sasa ni ngangaripoa! More men down!

Sasa hivi kuwa na mwili wa mazoezi uliojazia vizuri sio sifa tena bali ni kashfa. Kwa ripoti ile ya Mwakyembe na mwandishi wake wa habari za uchunguzi.. Vijana wafanya mazoezi ya mwili wamesagiwa kunguni pakubwa sana! Je, tuhuma zile ni za kweli? Je, ni nani kati yao anaweza kujitokeza hadharani na kupinga?

 

Mbona wazinzi hajapigia msitari? Washerati je? Na walevi? na wasengenyaji?.Hii nguvu ya kupinga ushoga ingepingwa kwenye haya mambo mengine dunia ingekuwa mahali salama pa kukaa.

Au ni kwamba wabongo wanapenda sana ushoga ndo maana mnauvalia njuga?

Je wale wanaokula tigo za wanawake?

Tunaomba jamii ishipotosheke kwa kukemea aina moja ya dhambi huku zingine zikiwa hazikemewi huu ni unafiq
 
Ushoga hauzuiliki tena kujadiliwa. Ni jambo geni bovu na baya kabisa kwenye jamii za kiafrika.. Ni utamaduni uliojaa kinyaa
Uliojaa fedheha
Uliojaa aibu
Uliojaa dhihaka
Uliojaa kila aina ya upuuzi
Mijadala ni mingi mitandaoni ya kupinga na ya kukubaliana na huu ushenzi

Huwezi kuelewa fadhaa, athari na maumivu ya ushoga kama huna mtoto wa kiume ama huna ndugu aliyeangukia huko
Hakuna namna unaweza kulitetea hili na kusema ni kizalia,wala kusema ni tatizo la maumbile.. Ushoga ni tatizo la kutengezwa na halipaswi kupewa nafasi ndani ya jamii iliyostaarabika

Watengeneza hili tatizo wana mipango kabambe kweli
Walilingiza kwa watu maarufu
Wakaliingiza kwa vijana
Wakaliingiza kwa wanamichezo
Wakaliingiza kwa wasanii
Wakaliingiza kwa watu wenye ushawishi kwenye jamii
Wanachuo vyuoni, wanafunzi shuleni, wafanyakazi makazini, vijiweni na hata bodaboda wote hawa hawajaachwa kwenye hili jambo baya kabisa

Kuna hili kundi lingine pendwa kwenye jamii... Wanaume wenye mazoezi ya mwili waliojazia maarufu kama mabaunsa
Vijana usiku na mchana wako kwenye vyumba vya mazoezi maarufu kama Gyms wakitengeneza miili ili wapendeze na kuvutia.. Mambo ya six packs.. Jamii iliyokuwa ikiwaamini sana kama wanaume ngangari kumbe sasa ni ngangaripoa! More men down!

Sasa hivi kuwa na mwili wa mazoezi uliojazia vizuri sio sifa tena bali ni kashfa.. Kwa ripoti ile ya Mwakyembe na mwandishi wake wa habari za uchunguzi.. Vijana wafanya mazoezi ya mwili wamesagiwa kunguni pakubwa sana! Je tuhuma zile ni za kweli? Je ni nani kati yao anaweza kujitokeza hadharani na kupinga?


Ni kweli wengi wameaga mashindano ila Mshana Jr sio wote hivyo wito wangu ni kuwa usimwamini sana Halison
 
Back
Top Bottom