cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Uhuruu ni muhimuu.Nimeshangaa mpaka wameamua waweke platform tupige kura,kwamba Jamiiforums management waView attachment 2564868meshindwa kwa kauli moja kusema kwamba "hili jambo ni nuksi halifai hapa nchini kwetu" mpaka waweke kitufe cha mashoga kusema wanataka wasiotaka ushoga waseme hawataki.
Ajabu sana