Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

[emoji23][emoji23]kwamba ukivaa au kunywa unafuata mwenyewe akufumue marinda.Nimecheka

Hiyo ripoti iko wap mkuu na mm niipitiee
Yaan vitu vingine vinachekeshaa kwa kweli, khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu umeandika kwa herufi kubwaa. Daaah
 
Hii report haijamtaja Mzunngu mmoja yupo Arusha anafanya kazi UN-MICT na alianza toka UN-ICTR anaitwa Tom Adami yupo kitengo cha Archives,Anajulikana hadi na mapolisi wa Arusha kwa kuwaharibu vijana wadogo.Kwakua ana diplomatic protection huwa hafanywi kitu,hadi mke wake mkenya aliamua kumuacha.Arusha anajulikana sana kwa tabia yake chafu na hata kuwapa kazi gays UN.
 
You nailed it.
 
We nawe hauna akili, huyo mzungu kwani amemuita mtu akamlazimisha kumfi#, mzungu lazima kaita watu ambao wanatobolewa ndo wakaona sasa tutobolewe na mzungu ila deep far wameshatobolewa sana na wabongo huko mtaani kwao
 
Kwa wakristo wataelewa, hizo ndo ajenda za mpinga kristo, ishu sio serikali za marekani bali wakuu wanaoiendesha hyo serikali kwa remote control, hao ndio wazee wa new world order, lengo kubwa kumuasi Mungu, na kuweka utawala wa shetani duniani sasa kazi ya kwanza ni kupunguza idadi ya watu ili in future iwe rahisi kutawala, lengo likitimia zitakuja serikali moja, sarafu moja etc, mpaka ile chapa ya mpinga kristo ifike. Kwa kuwa ushoga na usagaji ni uasi mbele za Mungu, basi mawakala wa shetani wanaopigia debe na kupata wanachama wapya kila siku maana yake ni shetani anavuna waasi wenzie wa kutosha, siku ya hukumu ikifika wakaogelee naye kwenye ziwa la moto.
 
Duh! Nimezungumza facts sijasema natetea mashoga, hili ndio tatizo kubwa la Watanzania wengi. Tunabebwa na upepo our reasoning capacity iko chini mno, ndio maana akija mtu akisema anatibu kwa kutumia kikombe wote tunakimbizana
Acha kutetea Ushoga wewe
 
We nawe hauna akili, huyo mzungu kwani amemuita mtu akamlazimisha kumfi#, mzungu lazima kaita watu ambao wanatobolewa ndo wakaona sasa tutobolewe na mzungu ila deep far wameshatobolewa sana na wabongo huko mtaani kwao
hana akili mama yako!
 
Ukute ni mchongo wa kuwatoa pesa hao NGO's na huyo Mzungu....wanajuana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbunge wako na tatto alichorwa[emoji1787] Au mtoto wa kike hapa halindwi asikobolewe?
Shangaa nawee hapooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni straight. Nina miaka 47. Nimejipulizia perfume. Nikawa shoga.

Tanzania inaongoza kwa kuwa na watu wajinga zaidi ulimwenguni
Hili suala la report ya mwakyembe na kahabi limeletwa mahususi kuzima kelele ya Report ya CAG, iliyojaa wizi na utapeli wa mali za umma.

Watakavokuja kustukaaa too late. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gays gan wa kibongo walipewa kazi huko UN? hizi story za vijiweni peaneni vizuriii khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gays gan wa kibongo walipewa kazi huko UN? hizi story za vijiweni peaneni vizuriii khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo bize kabisa, na hapo anaamini mtu alipewa kazi ili awe shoga😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…