Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ndiyo nina family friend ni shoga. Aliwahi onekana kwenye shooting ya wimbo wa Snura

Nilikua bodaboda nimeshakua na abiria shoga.

Kwani mkuu unaishi wapi ambapo hakuna mashoga?

Naishi Chitipa hakuna shoga huku. Simjui shoga yeyote personally my entire life. Watu wengi ukuwauliza hawana shoga in their circle. Hao mashoga wako ukiwauliza vizuri walianza ushoga majumbani mwao.

Wewe unawajua mashoga wawili unapoteza muda wako kujadili uamuzi wa mashoga wawili wakati kuna mambo ya msingi yanayogusa jamii nzima kila mmoja wenu? Huoni hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali?

Wewe kwa akili yako unaamini mtu anakuwa shoga kwa kukutumia marashi na dawa ya meno?
 
Funny enough, juzi tumekubali kupokea mabilioni ya US kwa kupitia Makamu wake, watu wanajua zile pesa ni za mchezo mchezo TU. Pesa tunataka ila attachment yake hatutaki....
Hawana ubavu wa kukataa, wakate waone watalii wasije ile Znz kama haijageuka magofu ya tumbili kwa kukosa watu,

Hapo bado hatujasema lile fungu wanalopokea kila mwaka kwa ajili ya watu hao hao wanaopigiwa kelele [emoji1]

Yaan kilichofanyika sisi Wadanganyika tumepewa kile tunachotaka kukisikia huku wajanja wanalamba tu Asali kwa raha zao
 
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Blender ya taifa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Eeh,
Alinogewa akamchora hadi tattoo, naweza kusema ripoti ya yule mwandishi uchwara ni ya mtu aliyevunjwa moyo kwa mapenzi, akaamua kutoa hasira zake kwenye kiuchuguzi chake kisicho na mbele wala nyuma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie
 
Ndiyo nina family friend ni shoga. Aliwahi onekana kwenye shooting ya wimbo wa Snura

Nilikua bodaboda nimeshakua na abiria shoga.

Kwani mkuu unaishi wapi ambapo hakuna mashoga?
Ulichukua hatua gani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata hivyo mashule ni hatari sana....hasa hizi za jinsia Moja...
Mimi nilisoma uboyzini O level niliona vitu vya kutisha sana [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko ndo kiwandaa kabisaa
Shule za jinsia 1, yanayofanyika huko ni hatareeee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko ndo kiwandaa kabisaa
Shule za jinsia 1, yanayofanyika huko ni hatareeee.
Mashoga wanakua na hiyo tabia toka utotoni sema wakija shule wanaanza kutafuta kama kuna wengine ndo wanajipendekeza kwa wasio mashoga....
 
Hopefully you know that you're an International Certified Fool with a Mental Case.
 
Sasa hivi unahamisha magoli.

Niliungana na wewe kusema marashi na dawa za meno haziwezi kua chanzo. Saa hii unauliza kwa akili zangu
 
Facebook unafanya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…