Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wizara ya Elimu kwa kushirikiana na wamiliki wa shule au bodi ya shule wanapaswa watupie jicho Kali kwenye shule zote za bweni ziwe za wasichana tu au wanaume tu au mchanganyiiko.

Bila usimamizi wa karibu vitendo vya ushoga na usagaji huwa vinaendelea miongoni mwa wanafunzi na hatimaye kuzaliwa kwa mashoga na wasagaji.

Narudia Tena shule zote za bweni zitizamwe kwa ukaribu.

Tanzania bila ushoga Wala usagaji inawezekana, kamwe tusione aibu kukemea na kuchukua hatua Kali.
 
Oya
Hata hao walio mtaani walienda Boarding kujifunza hayo usemayo ? .
Basi kusingekalika mitaani.
 
Huna lolote hao watoto wadogo ukawadhanie kuleta ushoga! Ushoga upo ngazi ya familia, nyie Makaka, MaAnko, Mababa, Mababu ndio mnawaharibu watoto,

Ushoga haupo mashuleni upo kwenye familia zenu, acheni kulawiti watoto.
 
Una Hoja, unapaswa kusikilizwa.
 
Mahari yangu ni milioni 3 tu, na set moja ya dhahabu (cheni, hereni, pete, bracelet, cheni ya kiunoni, vikuku miguu yote)..... sina bei mie

Tuma kwenye namba ile ile [emoji851]
Unajua namna napenda ka cheni ka kiunoni .. kama haka kanafaa ila nakuleta ka gold.. na kila kitu umepata hivyo.. mahalk hata wangepandisha ningetoa tu


Haya nakucheki chap chap 😊
 
haikuandikwa usifanye ushoga maana Mungu hakudhan kabisa kuwa kiumbe huyu angewaza na kufanya kitu ambacho hata mnnyama hafanyi, however curiosity killed the cat
 
Kwa sababu anapenda wanaume wenzie and you can't change that. I'm telling you this because I am a man who have dated two married men na wote walioa kwa presha za umri na familia, not out of love. So Pray harder yasikukute dear
We mwanaume au mwanamke?
 
Huna lolote hao watoto wadogo ukawadhanie kuleta ushoga! Ushoga upo ngazi ya familia, nyie Makaka, MaAnko, Mababa, Mababu ndio mnawaharibu watoto,

Ushoga haupo mashuleni upo kwenye familia zenu, acheni kulawiti watoto.

Msimamo wangu ni;
Ikitokea nakutana au nabaini huyu ni shoga katika maeneo yangu basi nitamzika akiwa hai...
 
Huna huo ubavu we ngumbaru, kodi ya chumba inakushinda utaweza kuzika mtu hai
Kwa mujibu wa mafunzo ya dini zote, adhabu ya mashoga ni kifo, kifo umauti ndio haki Yao mashoga.

Mungu aliwazika watu wa sodoma na gomora wakiwa hai.

Sisi pia tunapaswa tuwazike wakiwa hai.
 
Kwa mujibu wa mafunzo ya dini zote, adhabu ya mashoga ni kifo, kifo umauti ndio haki Yao mashoga.

Mungu aliwazika watu wa sodoma na gomora wakiwa hai.

Sisi pia tunapaswa tuwazike wakiwa hai.

Serikali ya Tz haina Dini sasa wewe jichanganye uue Mtu akatupwe Jela ukawe chakula cha Masela,

Kama Mungu aliangamiza Sodoma na Gomora basi atawaangamiza na wa sasa pia sio kazi yako wala hujapewa huo ukijumbe punguza kihere here kwenye maisha ya watu
 
Tanzania yenyewe mastar wao ,wengi wao wako karibu na mashoga yaani Pete na kidole

Ova
 
Mtu anajifanya kupinga ushoga wakati mtaani yuko nao
Kwenye shuguli yuko nao
Burdan zao anafatilia,mavazi yao anavaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…