cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Una Hoja, unapaswa kusikilizwa.Wizara ya Elimu kwa kushirikiana na wamiliki wa shule au bodi ya shule wanapaswa watupie jicho Kali kwenye shule zote za bweni ziwe za wasichana tu au wanaume tu au mchanganyiiko.
Bila usimamizi wa karibu vitendo vya ushoga na usagaji huwa vinaendelea miongoni mwa wanafunzi na hatimaye kuzaliwa kwa mashoga na wasagaji.
Narudia Tena shule zote za bweni zitizamwe kwa ukaribu.
Tanzania bila ushoga Wala usagaji inawezekana, kamwe tusione aibu kukemea na kuchukua hatua Kali.