Ushaona mbuzi au mbwa bubu??1. Jifunze uandishi
2. Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama?? Ulishawai ona mbwa shoga??, ng’ombe??, Punda??, Tembo??, mbuzi??, Simba??.
Mtu anazliwa shoga?? Haiwezekan mbona wanyama hatuoni??.
Kama una hizo imani hii topic haikufai. Jamaa amejaribu kutoa mtazamo wake juu ya jambo husika usimhukumu!1. Jifunze uandishi
2. Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama?? Ulishawai ona mbwa shoga??, ng’ombe??, Punda??, Tembo??, mbuzi??, Simba??.
Mtu anazliwa shoga?? Haiwezekan mbona wanyama hatuoni??.
Wanyama wa jamii za Big Apes wanafanya kwa mfano Masokwe aina ya Bonobo.Mbona hatuoni hayo madudu kwa wanyama??
Ni malezi na mazoea mabaya! Kwa mfano huyo aliyezaliwa na ndugu wa kike usoefu wake ni wanawake na anakuwa kama dada zake! Psychology ina tiba! Akiwahiwa anapona kabisa.Naomba ni seme kidogo kuhusu hili swala la ushoga kama ambavyo watu wamekuwa wakilijadili. Mimi kwa uelewa wangu na kwa jinsi ambavyo nimelifahamu hili tatizo. Nitalizungumzia kwa mifano halisi kwa watu ambao nimewafahamu.
Kwanza kabisa, nimezaliwa nimekuta kuna majina au maneno watu wakiyatumia ktk jamii, 1. Msenge 2. Hanithi, na 3 wasagaji. Haya majina yamekuwepo miaka nenda rudi ktk jamii na sio msamiati mpya. Maneno haya hawaitwi wanyama bali ni sisi, na ktk jamii watu hawa wapo na ndio maana kumekuwa na maneno haya.
Kitu cha kwanza ni jamii kutambua kuwa vitendo hivi vipo na vinafanyika, na kwa nini vipo, hilo ndio swali la msingi lazima watu wajiulize kwanza na sio kulalamika tu na kuwanyooshea vidole wausika. Nitoe mfano mmoja, kuna family moja niliwahi kuishi nayo kwa kipindi cha takribani miaka 10, ile family ilikuwa na watoto 4, wakike 3 na mdogo wao wa mwisho alikuwa wakiume. Huyu mtoto alikuwa hapendi kucheza na watoto wa kiume hata kidogo, bali ni watoto wakike tu nilimfahamu akiwa na miaka 9, bado anasoma primary school, mpaka akaenda secondary school, na kila alivyokuwa ana kua, ndivyo alivyojidhihirisha kuwa na hisia za kike, na wazazi wake wamemkubali kwa jinsi alivyo, kumbuka ni mtoto pekee wa kiume. Kwa hiyo hawa watu uzaliwa hivyo na sio kama watu wengi wanavyodhani. Pili kuna rafiki yangu mmoja aliolewa na mwenyezi Mungu aliwajalia kwakapata mtoto, lakini kabla ya hapo tulikuwa tunaambiwa kuwa jamaa anaingiliwa na wanaume wenzake, tukawa hatuamini ila amini usiamini mkewe alithibitisa hilo na ukawa ndio mwisho wa ndoa yao. Kumbuka wamezaa mtoto.
Nimejaribu kutoa mifano ya watu ninao wajua fika na sio kitu cha kusimuliwa na mtu. Kwa nini nimeamua kuanzisha uzi huu ni kujaribu kueleza kuwa hawa watu wapo na tunaishi nao sioni sababu ya jamii kuwatenga ni wenzetu na hivyo ndivyo walivyo, hawa kupenda kuwa hivyo walivyo kama wengi wanavyo amini. Wazungu walichofanya wao ni kutambua tatizo na kuwatambua ni sehemu ya jamii yao. Ila kwa Tanzania tunahisi kuwa ni utamaduni wa kizungu wakati sio kweli, ni kutafuta mtu wa kumtwisha lawama pasipo kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwasaidia. Jaribu kufikiria mtaani, shuleni au hata makazini tumeishi na watu wa jinsi hiyo ila tulikuwa tunasema, huyu ana tabia za kike au za kiume, jaribuni kukumbuka.
Kwa hiyo mimi nawaona ni watu ambao ni vilema kama kilema kingine chochote kile, tunatakiwa kuwa angalia kama ni watu ambao wanahitaji kuwa sehemu ya jamii. Hebu chukua kesi ya yule jamaa wa zanzibar, unaenda kumpima, kisha majibu yana kuja ameingiliwa, je uliwahi kujiuliza background history yake kabla ya kumpima?. Au ndio sisi tunaamini bado tunaamini kuwa watoto wetu hawajamiani mpaka wanapofunga ndoa au akipata ujauzito ndio wazazi wanasituka.
Mwisho tunapojadili swala la ushonga tuliangalie kwa upana wake na sio kwa ushabiki
Ni mtizamo wangu, na wewe pia una mawazo yako piaMtoa mada sikubaliani na wewe huo sio uumbaji bali tabia za kishenzi alizozijifunza Mwanadamu kwa utashi wake mwenyewe.
Mungu alimwuumba Mwanadamu kwa sura a kwa Mfano wake Mwa 1:26-27
Sidhani, wafiraji wakubwa ni hao wachamungu.USHOGA ni mfumo ulipoanzia kuzimu kuletwa Duniani.
Au wewe ndiyo unataka kugongwa na DjI am the state
Safi sana! hii ndiyo nondo sasa!Ninachokifahamu ni kuwa watu huyaona mambo kutokana na vile wanavyoyatazama.
Kwako wewe umeliona suala hili ni la kawaida ndio maana umelikumbatia na ukalitafutia justification ukaliita "kilema".
Lakini kama ungeliona ni jambo baya na lisilofaa basi ungelikemea na kulitafutia ufumbuzi.
Ndio maana hata hao vilema tunawatafutia namna ya kuwaweka sawa ili waendelee na shughuli zao kama watu wengine, kwa sababu tunajua kuwa hali walizonazo sio sahihi.
Ndio maana mlemavu wa miguu atapatiwa baiskeli ili aweze kwenda, mlemavu wa masikio atapatiwa vifaa maalumu walau aweze kusikia, bubu atafundishwa lugha ya ishara ili aweze kuwasiliana na wengine.
Ila hawa walemavu wako unataka wasisaidiwe kutokana na hiyo hali, na badala yake wakumbatiwe na kusapotiwa wabaki katika ulemavu wao.
Na hivi kati ya shoga na basha nani anakuwa kilema hapo?
Achana na story za kuambiwa. Hivi ingekuwa wewe ndio umefanywa hiyo na huyo mzungu, ungechukua hatua gani, just be honestNi malezi na mazoea mabaya! Kwa mfano huyo aliyezaliwa na ndugu wa kike usoefu wake ni wanawake na anakuwa kama dada zake! Psychology ina tiba! Akiwahiwa anapona kabisa.
Mazoea mabaya ukikuta mtu mwenye malezi ya kike kike sana anaanza kuchanganyika na wanaume wenye malezi ya kiume na kuonyesha huo ukike wake watahamasika wamjaribu.
Hivi yule mzungu anayewachukua mabauza na kuwavunja mshipa wa kiume ili wawe mahanithi na aendelee kuwaingilia tu unasemaje hapa!?? Mseveni ameshaprove hakuna maelezo ya kisayansi ya ushoga!
Kuhusu ukweli kuhusu haya! sina wasi wasi kuhusu kutokea! fanya utafiti kama uko hapa bongo!Achana na story za kuambiwa. Hivi ingekuwa wewe ndio umefanywa hiyo na huyo mzungu, ungechukua hatua gani, just be honest
Narudia kusema,Sidhani, wafiraji wakubwa ni hao wachamungu.