FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Kwahio michepuko ni mizuri kwa afya ili hormone iendelee kuzalishwa tuwinde papa kwa wingiKuna KITU kinaitwa lesbian bed death
KWENYE mahusiano mengi ya jinsia moja (mwanamke + mwanamke) kuna hii hali
ambapo takwimu zinaonyeshwa KWAMBA, wandani WENGI wa jinsia MOJA hawafanyi MAPENZI mara kwa mara
Na SABABU KUBWA ni kuwa MWANAMKE hazalishi KIASI kikubwa cha homoni za kiume HIVYO kufanya matamanio kuwa MADOGO baina YAO
MAHUSIANO mengi ya lesbian yana pitia hali hizi za kukosa ukaribu na mapenzi (segXz)
SASA UNAJIULIZA, hapa unatupeleka WAPI?
USIJE UKAPUMBAZWA kwamba hali hii inawatokea lesbians tu, lakini ni mara ngapi uko kwenye mahusiano lakini demu hataki kukukatia?, Au MWANAMKE uko kwenye mahusiano laini kufanya mapenzi na MWANAUME wako "feels like a lot of work" hutaki hata kusikia
WAULIZENI, majamaa WENGI waliooa WANAKATIWA MARA NGAPI
MARA nyingi unaweza kumsikia MWANAMKE ana complain "hakuwa hivi WAKATI tunaanza MAPENZI, siku hizi amebadilika".
MWANAUME na WEWE ukiangalia unasema mbona alikuwa ananikatia kila mara kabla ya mahusiano/ndoa siku hizi amekuwaje
LEO NATAKA NIKUSANUE JAMBO MOJA (1)KATIKA MANNE (4) yanayo sababisha HIYO hali na litakalo kusaidia kukatiwa MARA kwa MARA
MAHUSIANO yana faida ZAKE na hasara PIA
MOJA ya hasara zake ni kuwa MWANAUME unapoingia kwenye MAHUSIANO homoni za kiume (T) zina drop (dondoka kwa kasi ya ajabu) na homoni za kike zinaanza kuzalishwa kwa wingi (oxytocin)
Homoni ya (T) ndio inayo husika na "mate seeking behaviour" ukiwa single inazalishwa kwa wingi unapo pata demu/mke inadondoka na oxytocin inachukua nafasi
UKIWA na kiwango KIDOGO cha homoni za KIUME, zile TABIA za kiume ambazo MWANAMKE wako alikuwa anaziona MWANZO zinakata ndio maana unaweza ukaona anaanza kukuendesha, kufanya hivi na vile ili mradi mgombane
Mnapanga mechi saa ya MWISHO anaingia vichakani hatokei
Unakuta MWANAUME anaogopa kwenda kazini anaona kama atagongewa, kila saa ana tuma meseji kama yuko mbali na mpenzi wake
WANAWAKE wana natural ability ya KUJUA mwanaume mwenye kiwango kikubwa cha testosterone (T), evolutionary wamepewa huo UWEZO
Kiasili kabisa kama huna hicho kiwango ni LAZIMA alete drama kwenye relation, kwasababu aliingia KWENYE mahusiano na MWANAUME and lately haoni kama that is the case
SASA SITAONGELEA TABIA AMBAZO KAMA MWANAUME UNATAKIWA KUZIEPUKA, nitaongea JINSI ya kuongeza (T) level kwa kifupi
Testosterone ndio homoni inayo mpa MWANAUME unaume WAKE
Simple, ili uongeze kiwango chako cha (T) level ni lazima uepuke baadhi ya tabia na chakula (rudieni lile somo nililowafundisha hapa kuhusu oestrogen na kwanini wanaume wamekuwa feminised)
VYAKULA unavyotakiwa kugonga kwa WINGI vinajumuisha mayai, ndizi (tano (5) kwa siku)), viazi vitamu etc upate masaa nane(8) ya usingizi mazoezi, acha punyeto na picha za ngono kila mara
KUNA kiwango cha kifanya cha testosterone (T) hakikisha at least una double kiwango kilicho wekwa kuwa in safe space
ILI kudouble hiki kiasi, MIMI huwa nafanya hivi naogea maji ya moto alafu nikimaliza nafungulia ya baridiiii nikitoka natetemeka [emoji28]
NAKUSHAURI UFANYE HIVYO, ndani ya WIKI mbili ukipita barabarani mademu wasio anza kukushadadai bila wewe kujikomba rudi hapa niambie [emoji28][emoji28]
Kwa namnagani ya uwezo wa kiasili uliyo sema hapo juu ambayo mwanamke anaweza kuja kwamba homoni zangu za kiume zimepungua?Kuna KITU kinaitwa lesbian bed death

Asante kwa kusoma. Mfundishe boy WAKO asije akaolewa mikononi mwakoHii title ya thread imeharibu content ya Uzi hovyo kabisa
Punje mbili za vitunguu SWAUMU ukiamka asubuhi. Asali na tangawizi vinasaidia PIAVipi kuhusu tangawizi na asali na vitunguuswaumu?
NDIONdizi tano kwa siku
Bank balance yangu hailingani na yako. KAMA UNABISHA EKA BANK STATEMENT tufundishane heshima hapa.Pesa mfukoni inaongeza hiyo testetron (T) balaa, tafuta hela mtoa mada
ASNTE SANA NDUGU YANGUMsipuuze kuna vitu vya maana kaviandika ingawaje na chai imo
HILO ni somo jipya kabisa ila kuna VERMo nasal maeneo ya puani ambayo yana kazi ya ku detectKwa namnagani ya uwezo wa kiasili uliyo sema hapo juu ambayo mwanamke anaweza kuja kwamba homoni zangu za kiume zimepungua?
URIJALI SIKU HIZI NI KAZI, WANAWAKE wengi siku hizi hawakazwi VIZURIKuwa mwanaume rijali siku hizi dili.. unavunja vitu tu vinajileta vyenyewe
Sawa tuwagongeBank balance yangu hailingani na yako. KAMA UNABISHA EKA BANK STATEMENT tufundishane heshima hapa.
PESA PEKE YAKE HAITOSHI. Wangapi wanahela na wanagongewa?
Burden of performance siku zote iko kwa MWANAUME hata demu akikaa kifo cha mende dk 90. Bado atatoka akasema huna NGUVU za KIUME
Ni either, uungane na SISI kugong hawa WANAWAKE au na WEWE uharibikiwe uanze kugawa NYUMA
Asante SANA kwa kusoma uzi huu NDUGU YANGU [emoji120]
Wanaume hawali vizuri, hawafanyi kazi ngumu unategemea nini?Kumkaza mwanamke goli 4, 5 sio mchezo. Inabidi uwe umeshiba vizuriURIJALI SIKU HIZI NI KAZI, WANAWAKE wengi siku hizi hawakazwi VIZURI
Labda wanao ndio watakuwa mashoga sio MimiAsante kwa kusoma. Mfundishe boy WAKO asije akaolewa mikononi mwako
Je ukila usiku je? Si vibaya?Punje mbili za vitunguu SWAUMU ukiamka asubuhi. Asali na tangawizi vinasaidia PIA