Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

umeandika point vizuri ila ukakosea kuandika kuwa wanaume ambao wana changamoto ya kuwa na mahusiano na wanawake wanakuwa mashoga, hapana
 
Siyo kweli kuwa wanaume wanaoshindwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wanageuka kuwa mashoga. Wapo wanaume wengi hawana mahusiaono ya kimapenzi na wanawake kutokana na sababu mbalimbali na wameamua kuwa single na kutojihusisha na mapenzi ya aina yeyote na wanayaweza maisha hayo
 
Sidhan kama nimekuelewa vizuri, na kama nimekuelewa vizuri basi hiyo Aya uliyoiweka haitoi hukumu ya liwati (USHOGA) hiyo inazungumzia kwa wanaofanya faahisha (zinaa) baina ya wanaume na wanawake hao ndo wanatakiwa kuadhibiwa (mawe mpaka kifo kwa aliyeko kwenye ndoa, na viboko kwa asiyeoa) Ila wanaofanya ushoga ni kuuawa tu, ndo hukumu yake. Labda umecomment hiyo kitu bila kuielewa
 
Duh hatari sana aiseeee[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Boy WAKO ni mmeo/ boyfriend WAKO

Acha kupaniki kitu cha KWANZA, cha pili hili sio Battle tunafundishana.

SASA WEWE KAZA KICHWA, kwasababu unafikiri nime kuatack
Sitaki kufundishwa mambo ya kishenzi mimi
 
Mapenzi ya Jinsia moja ni jambo linalokemewa kwa Nguvu zote hapa Nchini, lakini bado linaendelea kushamiri kwakua wanaofanya ni kwa utashi wao na hakuna anayewakagua kujua kama wameanza kushiriki au La. Juzi nilikua natoka Mwanza mjini nikielekea Kwangu Mkolani, Nilishuka Nyegezi Stendi kisha nikachukua Bodaboda kwenda Majengo Mapya.. Wakati tunaelekea huko nikampa stori dereva yule, Baadaye akanisimulia kisa ambacho kiliniacha Mdomo wazi.

ni kwamba kuna siku moja alikua alimpakia kijana Lijali kwenye pikipiki yake akitokea Nyegezi Stendi kwenda Nyegezi Kona, wakati wakiwa njiani Yule kijana akaanza kumkumbatia bodaboda, akaanza kumtomasa.. Dereva mpaka akashindwa kuendesha bodaboda akasimama baada ya kusimama Kijana yule akatoa Burungutu la Fedha akampa huyo Bodaboda akimshawishi kwenda kumfanyia hicho kitendo.. Huyo Bodaboda kwa Maelezo yake alichukua Pesa akaondoa Pikipiki yake kwa kasi na akatokomkea, sasa najiuliza ni vijana wangapi wenye tamaa ya pesa wanaopewa na kujihusisha na mapenzi haya Haramu? iko haja kwa Elimu kutolewa kwa makundi haya Maalumu ili tusipoteze hiki kizazi.
 
Nikuulize swali ..we ukipewa hela utakubali kufanya hayo mapenzi ya jinsia moja?
 
Akachukua pesa akatokomea[emoji23][emoji23][emoji23]pesa zinatolewa kirahisi hivyo?ni Kama stori fake hii
 
Eti alitokomea???? Usije ukawa wewe ndio shoga mwenyewe. Siyo rahisi boda kakupakiza then akupe story iliyo kamili kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…