Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kuna kisa dogo mmoja alifanyiwa hivi hivi dar

Kuna mwanangu alikua amepanga ubungo kibangu nikawa Kila jioni naenda tunakaa mtaa tunapiga gambe, mi natokea mabibo, hapo alipopanga pembeni kapanga dogo mmoja boda tulikua tumezoea kumtuma hapa na pale japokua hapigi gambe alafu alikua mdogo anatuita ma bro

Siku Moja usiku tukakuta dogo analia, kumbananisha dogo Nini shida ndo anatuambia

Kapata abiria kijana anaenda sinza, kufika abiria kaingia ndani kuchukua hela baadae anamuita dogo njoo ufate hela ndani, nyumba nzima ndani ya uzio, dogo akapaki vizuri kachoma ndani alikua anadai buku 3, kufika ndani jamaa kaweka burungutu la pesa mezani akamwambia dogo nataka unif**e nakupa laki 2 cash sa ivi....

Watu tunasikilizia hapo, dogo akazidi kulia tu, jamaa mmoja
Akamkazia dogo "acha usenge kwa io ikawaje mbona unalia sasa"? Dogo akaongea kwa kwikwi "brother umaskini mbaya, ningefanyaje nadaiwa hela ya bosi ya wiki nzima ya pikipiki"

Ohooo, wajuba tukajua imeisha io, wa kucheka wakacheka mpaka basi, kuanzia Hio siku sikuwahi muagiza kitu huyo dogo!!
Namuunga mkono dogo

Mzigo kala na Hela juu
 
Hii experience siyo ya kitoto umeandika.

Eti misuli ya mwanaume anayefirwa imebana kwa sababu ya uume alafu ukimzagamua unahisi utamu maana nyuma kumebana Sana,na anayefi*wa nae anasikia Kama anapiga bao. Wewe Ni Basha mzee!!
Sema wabongo ni wanafirana sio umtaje mtu, nani aliyeandikwa usoni anachezea matako
 
Dah kuna mwingine jirani yangu juzi alinisimulia alipakiza mashoga wawili alipowafikisha wanakoenda akawachana live kuwa wao ni majembe waache mambo yao wale mashoga wakaanza kumuambia jamaa bodaboda mshamba .Jamaa anadai siku iliyofuata hakula hata kichwa kimoja kwenye bodaboda mpaka jioni akiammini wale mapunga alioowabeba walimletea nuksi.Jamaa ameapa atakuja kubeba tena ***** kwenye bodaboda
 
Mapenzi ya Jinsia moja ni jambo linalokemewa kwa Nguvu zote hapa Nchini, lakini bado linaendelea kushamiri kwakua wanaofanya ni kwa utashi wao na hakuna anayewakagua kujua kama wameanza kushiriki au La. Juzi nilikua natoka Mwanza mjini nikielekea Kwangu Mkolani, Nilishuka Nyegezi Stendi kisha nikachukua Bodaboda kwenda Majengo Mapya.. Wakati tunaelekea huko nikampa stori dereva yule, Baadaye akanisimulia kisa ambacho kiliniacha Mdomo wazi.

ni kwamba kuna siku moja alikua alimpakia kijana Lijali kwenye pikipiki yake akitokea Nyegezi Stendi kwenda Nyegezi Kona, wakati wakiwa njiani Yule kijana akaanza kumkumbatia bodaboda, akaanza kumtomasa.. Dereva mpaka akashindwa kuendesha bodaboda akasimama baada ya kusimama Kijana yule akatoa Burungutu la Fedha akampa huyo Bodaboda akimshawishi kwenda kumfanyia hicho kitendo.. Huyo Bodaboda kwa Maelezo yake alichukua Pesa akaondoa Pikipiki yake kwa kasi na akatokomkea, sasa najiuliza ni vijana wangapi wenye tamaa ya pesa wanaopewa na kujihusisha na mapenzi haya Haramu? iko haja kwa Elimu kutolewa kwa makundi haya Maalumu ili tusipoteze hiki kizazi.
We ulisikia akiongea hayo... Watanzania kwa uongo aise ni asili yetu
 
Sema wabongo ni wanafirana sio umtaje mtu, nani aliyeandikwa usoni anachezea matako
Mimi ninayeandika hapa sijawahi kumf*ra mtu,hiyo hesabu yako ya probability efi wabongo asilimia 90 wanafirana umeitoa wapi? Mbona kwenye sensa mwaka Jana hatukuulizwa Hilo swali la unafirana?

Acheni michezo yenu ya kifirauni wasengerema nyie. Alafu unaonekana wewe ndiye uliyemshawishi bodaboda.
 
Dah kuna mwingine juzi alisimulia alipakiza mashoga wawili alipowafikisha wanakoenda akawachana live kuwa wao no.majembe waache mambo yao wale mashoga wakaanza kumuambia jamaa bodaboda mshamba .Jamaa anadai siku iliyofuata hakula hata kichwa kimoja kwenye bbodaboda mpaka jioni akiammini wale mapunga alioowabeba walimletea nuksi.Jamaa ameapa atakuja kubeba tena ***** kwenye bodaboda
Angewala na kuwala na Hela angekula

Mashoga hawatoisha Leo Wala kesho

Tungeishupalia ripoti ya CAG Kwa moto huu huu tugefika mbali sana
 
Mimi ninayeandika hapa sijawahi kumf*ra mtu,hiyo hesabu yako ya probability efi wabongo asilimia 90 wanafirana umeitoa wapi? Mbona kwenye sensa mwaka Jana hatukuulizwa Hilo swali la unafirana?

Acheni michezo yenu ya kifirauni wasengerema nyie. Alafu unaonekana wewe ndiye uliyemshawishi bodaboda.
Subiri wakuletee makalio yao wabong'oe usipowatafuna niite mbwa, kuna mtu alikua anapiga kelele kila siku kaonjeshwa Tigo sahizi kimya
 
Acheni kujusfify usenge wenu mnaoufanya.

Unaanzaje kumlinganisha mwanaume anayefanya michezo ya ******* na anayegonga malaya pale Tandika kwa wahaya au Riverside?
Biblia na Quran Haina grading system ya dhambi

Kwamba hii ni kubwa na hii ni ndogo
 
Mapenzi ya Jinsia moja ni jambo linalokemewa kwa Nguvu zote hapa Nchini, lakini bado linaendelea kushamiri kwakua wanaofanya ni kwa utashi wao na hakuna anayewakagua kujua kama wameanza kushiriki au La. Juzi nilikua natoka Mwanza mjini nikielekea Kwangu Mkolani, Nilishuka Nyegezi Stendi kisha nikachukua Bodaboda kwenda Majengo Mapya.. Wakati tunaelekea huko nikampa stori dereva yule, Baadaye akanisimulia kisa ambacho kiliniacha Mdomo wazi.

ni kwamba kuna siku moja alikua alimpakia kijana Lijali kwenye pikipiki yake akitokea Nyegezi Stendi kwenda Nyegezi Kona, wakati wakiwa njiani Yule kijana akaanza kumkumbatia bodaboda, akaanza kumtomasa.. Dereva mpaka akashindwa kuendesha bodaboda akasimama baada ya kusimama Kijana yule akatoa Burungutu la Fedha akampa huyo Bodaboda akimshawishi kwenda kumfanyia hicho kitendo.. Huyo Bodaboda kwa Maelezo yake alichukua Pesa akaondoa Pikipiki yake kwa kasi na akatokomkea, sasa najiuliza ni vijana wangapi wenye tamaa ya pesa wanaopewa na kujihusisha na mapenzi haya Haramu? iko haja kwa Elimu kutolewa kwa makundi haya Maalumu ili tusipoteze hiki kizazi.
Mwenye tamaa ya pesa hata umpe elimu gani bado ataingia kwenye tamaa tu
 
Acheni kujusfify usenge wenu mnaoufanya.

Unaanzaje kumlinganisha mwanaume anayefanya michezo ya ******* na anayegonga malaya pale Tandika kwa wahaya au Riverside?
Hakuna dhambi kubwa wala ndogo kaa utambue hilo japo kufira imewekwa kinamna fulani uone ni dhambi kubwa zaidi ila zote ukitenda kama unaamini kwenye dini basi ni dhambi
 
Mapenzi ya Jinsia moja ni jambo linalokemewa kwa Nguvu zote hapa Nchini, lakini bado linaendelea kushamiri kwakua wanaofanya ni kwa utashi wao na hakuna anayewakagua kujua kama wameanza kushiriki au La. Juzi nilikua natoka Mwanza mjini nikielekea Kwangu Mkolani, Nilishuka Nyegezi Stendi kisha nikachukua Bodaboda kwenda Majengo Mapya.. Wakati tunaelekea huko nikampa stori dereva yule, Baadaye akanisimulia kisa ambacho kiliniacha Mdomo wazi.

ni kwamba kuna siku moja alikua alimpakia kijana Lijali kwenye pikipiki yake akitokea Nyegezi Stendi kwenda Nyegezi Kona, wakati wakiwa njiani Yule kijana akaanza kumkumbatia bodaboda, akaanza kumtomasa.. Dereva mpaka akashindwa kuendesha bodaboda akasimama baada ya kusimama Kijana yule akatoa Burungutu la Fedha akampa huyo Bodaboda akimshawishi kwenda kumfanyia hicho kitendo.. Huyo Bodaboda kwa Maelezo yake alichukua Pesa akaondoa Pikipiki yake kwa kasi na akatokomkea, sasa najiuliza ni vijana wangapi wenye tamaa ya pesa wanaopewa na kujihusisha na mapenzi haya Haramu? iko haja kwa Elimu kutolewa kwa makundi haya Maalumu ili tusipoteze hiki kizazi.
Unajua watanzania wengi ni wajinga sana! Hivi huzijui tabia za boda boda za uongo na kunogesha stori ili uwe mteja wake?

Haya hiyo stori aliyokwambia na Mimi wa huku dar nishawahi kuambiwa na boda wa huku hivyo hivyo bila kukosea hata neno! Tujifunze kupembua mambo sio Kila unaloambiwa ushakimbilia kuwambia watu. Alafu mbona kama Kuna kikampein Cha kulazimisha kwamba ushoga umeenea sana?? Mnaajenda gani nyie?? Mbona sisi huku mitaani hatuwaoni hao mashoga wa kiwango hicho mnacho lazimisha Kila siku???
Jamani tusipumue!!!
 
Kalale kwenye vyumba vyao uone wanaume wanavyofirika humo
 
Back
Top Bottom